Siku zote kuna vitu vinakera lakini kumpuuza mteja kwenye ni Tatizo lenye kuumiza Mimi ni mtumiaji mzuri sana wa mtandao wa Airtel lakini nimeamua kuhama rasmi hawajali kabisa wateja wao. Kuanzia huduma za Network na kwenye Airtel Money ni mizinguo mitupu!
Angalia wateja wenu wanavyolalamika nimegundua sio mimi mwenyewe ni Ubabaishaji tu kama vitu vidogo vinawashinda si kwenye kugawa share za Hisa mtaweza kweli?
Wapo watu wengi wanaowalalamikia na hamuonekani kubadili muelekeo wa kazi zenu hata kidogo.