Juice ya miwa inaweza kuuzwa supermarket

Simara

JF-Expert Member
Oct 1, 2014
7,510
23,908
Habari wanaJF,

Hivi inawezekana kutengeneza juice ya miwa na ukawa unaiuza supermarket? Sijawai kuona inauzwa supermarket yoyote ile na natamani nijue process zake za kuhifadhi ili isiharibike.
 
Kwa ufahamu wangu juisi ya miwa ikikaa kwa muda mrefu inageuka kuwa pombe.So you have to familiarise yourself with preservation additives.
 
Kwa ufahamu wangu juisi ya miwa ikikaa kwa muda mrefu inageuka kuwa pombe.So you have to familiarise yourself with preservation additives.
Okay, thank you! Nahisi ndiyo sababu haipatikan kwenye supermarket zaidi ya hizi za mitaan
 
Okay, thank you! Nahisi ndiyo sababu haipatikan kwenye supermarket zaidi ya hizi za mitaan
Huenda ikawa, lkn ukitoka nje ya box... Kama juisi zingine inawezekana kuhifadhi,.. basi na ya miwa inaweza kupatikana namna ya kuhifadhi.
 
Huenda ikawa, lkn ukitoka nje ya box... Kama juisi zingine inawezekana kuhifadhi,.. basi na ya miwa inaweza kupatikana namna ya kuhifadhi.
Na ilo ndiyo swali langu kubwa ,nataman sana kujua inahifadhiwa vipi...ukifanikiwa kuhifadhi hii inaeza kukupa kipato kizuri
 
Na ilo ndiyo swali langu kubwa ,nataman sana kujua inahifadhiwa vipi...ukifanikiwa kuhifadhi hii inaeza kukupa kipato kizuri

Nenda SIDO wanatoa mafunzo ya kuhifadhi vyakula ada Ni sh 150,000 tu. Kaulize Kama wanaweza kukupa mafunzo ya kuhifadhi Juice ya miwa.

Wazo zuri sana hili, nakuona unakuwa bakheresa wa baadae. Usipo fanyia kazi hili Mimi naliweka Kwenye mipango yangu baadae.

Kila la kheri.
 
Utauza Sana Imagine Dar ina supermarket kama 100 hivi unapeleka Mzigo na Unakua na Brand yako

RINGOSON Sugarcane Juice
 
Back
Top Bottom