Kununua bidhaa katika masoko(online Market) ambayo hayasafirishi bidhaa kimataifa(nje ya nchi zao)

Nyigana

Senior Member
May 5, 2012
105
12
Mimi nimekuwa nikinunua bidhaa kupitia ebay.com, lakini sasa nilitaka kununua kitabu kupitia amazon.in imekuwa ngumu coz wao wanaship bidhaa zao ndani ya India, sasa nilikuwa naomba msaada kama kuna mtu anaweza kunisaidia kujua ni namna gani au kuna courier ambaye anaweza kunipokelea mzigo wangu ndani ya India na akautuma Tanzania.

NB: kuna thread nimeiona ya Mwl.RCT kuwa anaweza kukununulia bidhaa kwenye masoko ya namna hiyo, mimi nahitaji kujua anatumia courier gani ili niweze kufanya mwenyewe pale ninapokuwa na shida.
 
NB: kuna thread nimeiona ya Mwl.RCT kuwa anaweza kukununulia bidhaa kwenye masoko ya namna hiyo, mimi nahitaji kujua anatumia courier gani ili niweze kufanya mwenyewe pale ninapokuwa na shida.
>> Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)
Pitia hii thread, utapata mwanga zaidi.

DASHBOARD YA TRACKING YA MIZIGO YA WATU
upload_2017-3-17_5-42-12.png

2017-03-17_5-44-33.png

courier gani?
- Situmii ccourier mmoja, ni tofauti tofauti
- Hii hutegemea mzigo unatoka nchi gani
- Pitia hii link utajifunza kuhusu courier tofauti tofauti: Hili Halijapata Ufumbuzi kuhusu Ununuzi wa Vitu kwa Njia ya Mtandao (Online Purchase)

Pia pitia commet [HASHTAG]#403[/HASHTAG] HAPA www.v.ht/buy4me

Kwa ufupi natoa huduma tatu (3)
- BUY4ME - nitanunua na kukusafirishia
- PAY4ME - nitakufanyia malipo kwa huduma au bidhaa uitakayo
- SHIP4ME - Nitakusafirishia mzigo baada ya wewe (a) kufanya manunuzi mtandaoni kama AMAZON, BESTBUY, APPLE .COM, etl au (b) iwapo una mzigo kutoka kwa ndugu jamaa nje ya nchi na unahitaji kuufikisha Tanzania

KARIBU
 
sasa nilikuwa naomba msaada kama kuna mtu anaweza kunisaidia kujua ni namna gani au kuna courier ambaye anaweza kunipokelea mzigo wangu ndani ya India na akautuma Tanzania.
Kama bado hujapata ufumbuzi

Naweza kukupokelea INDIA na kutuma TZ.
- Malipo ya usafirishaji utafanya baada ya kitabu kufika nchini.

Whatsapp +255 784 496 856
 
Kama bado hujapata ufumbuzi

Naweza kukupokelea INDIA na kutuma TZ.
- Malipo ya usafirishaji utafanya baada ya kitabu kufika nchini.

Whatsapp +255 784 496 856
Mkuu kitabu chenyewe ni Rs. 340 lakini nahisi ukitumia DHL, FedEx gharama inaweza kuwa ghali sana mpaka kufika Tanzania
 
Kama bado hujapata ufumbuzi

Naweza kukupokelea INDIA na kutuma TZ.
- Malipo ya usafirishaji utafanya baada ya kitabu kufika nchini.

Whatsapp +255 784 496 856
Anyway nipe mchanganuo wa gharama kitabu chenyewe kipo amazon.in kinaitwa SWITCHGEAR AND PROTECTION by bakshi.
 
Teresa vp umeweza kupata?

Uku nimeona once watu wakinunua mizigo huwa wanatuma kwa kupitia watuma mizigo kuna watanzania kazi zao ni kusafirisha mizigo kutoka india kuja Tanzania kukwepa gharama izo za dhl kama utataka maelezo zaidi njoo inbox
 
Mimi nimekuwa nikinunua bidhaa kupitia ebay.com, lakini sasa nilitaka kununua kitabu kupitia amazon.in imekuwa ngumu coz wao wanaship bidhaa zao ndani ya India, sasa nilikuwa naomba msaada kama kuna mtu anaweza kunisaidia kujua ni namna gani au kuna courier ambaye anaweza kunipokelea mzigo wangu ndani ya India na akautuma Tanzania.

NB: kuna thread nimeiona ya Mwl.RCT kuwa anaweza kukununulia bidhaa kwenye masoko ya namna hiyo, mimi nahitaji kujua anatumia courier gani ili niweze kufanya mwenyewe pale ninapokuwa na shida.
Ukinunua online mzigo unapata baada ya muda gan
 
Ukinunua online mzigo unapata baada ya muda gan
Muda wakupata mzigo wako inategemea
- Njia ya usafirishaji itakayo tumika
(a) Njia ya haraka ni kati ya siku 3 - 7
(b) Njia ya kawaida huwa ni ndani ya siku 14 -28

Njia ya haraka ghalama yake iko juu, wakati kwanjia ya kawaida ya posta huwa ni Free shipping au unaliia kiasi kidogo.

Karibu www.v.ht/buy4me
 
Back
Top Bottom