Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Naomba kufahamu zilipo ofisi za agency wa simu za bird kwa Dar es salaam.samahan kwa usumbufu wa kuu
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nauliza, Shamba langu mihogo yenye urefu wa futi nne inanyauka na mvua zinanyesha. Ni ugonjwa gani huo?
0 Reactions
3 Replies
943 Views
Habari wakuu, Huwa naona kwenye bured de change wanabadilisha dollar kwa thamani tofauti, yaani note moja ya dollar 100 ina thamani kuliko note moja ya dollar 1 kwa mfano; US $ CASH 50, 100...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Naombeni msaada nataka kufungua akaunt ya kibiashara bank ya NMB au CRDB ni nini vinahitajika?
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Tanzania mpyaaaa Chinese firms’ investment in Tanzania exceed USD6.62bn
1 Reactions
0 Replies
757 Views
Huku pande za moshi unga kilo moja ni 2200, sukari kilo moja ni 3000 na mchele kilo moja ni shilling 2000 hebu tupia na wewe bei ya huko ulipo
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu Waheshimiwa wote, Nilikuwa naomba muongozo wenu ktk hili,sisi ni vijana tupatao watano na biashara yetu ni kugema Ulimbo,tulikuwa tunasikia hizi tetesi kuhusu Saccos na tunataka kuwa...
0 Reactions
32 Replies
22K Views
SALAAM!. samahani wakuu kwa wanaojua jinsi ya kufungua paypal acount plz nina acount crdb na akiba sasa nataka kuopen pay pal acount ili niweze kununua bidhaa online thanx
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Wakuu Naombeni msaada, nataka nianzishe kampuni ndogo ambayo itakua inasambaza bidhaa flani Mtaji wangu ni mdogo sana, je naweza kutumia chumba changu kama ofisi. Sina ela ya kukodi frem
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Katika hatua ya uibuaji wa mradi (Project Plan), ni baadhi ya taarifa tu (facts and issues) hujulikana na zingine hazijulikani. Kutojulikana kwa taarifa hizi zingine (Unknown facts &issues/total...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Iko na extenal cd room yake ina ufa kwenye kioo haina ubovu wowote.aina ni asus.specification zake ziko hapo kwenye picha.ni Palmtop sio laptop. Bei laki 2 tu.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuwait dinar ndiyo pesa yenye nguvu kuliko zote kwa sasa ambapo ukiwa nayo moja ni sawa na hii yetu(Tsh 5509)..ya pili ni Bahrain dinar ambayo moja ni sawa na TSH 4169..Ya tatu ni Oman rial ambayo...
4 Reactions
48 Replies
118K Views
What is the 'Foreign Exchange Market'? The foreign exchange market is the market in which participants are able to buy, sell, exchange and speculate on currencies such as (tsh, $s, euro,pound...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bearish This pair trended upwards last week, briefly went above the resistance line at 1.0750, and then retraced southwards...
0 Reactions
1 Replies
542 Views
Habarini wakuu kati ya kuuza na kubadilisha mitungi ya gesi na kuwa na mashine ya kukamua juis ya miwa ipi iko poa kimaslahi?
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Wakuu,nina shamba la familia la ekari 4 lenye hati ya kimila tuliyopewa 2010 mwezi wa saba. Kulingana na hali ya kiuchumi ya sasa,ninataka niunganishe familia yangu yenye watu wazima 6 km kikundi...
5 Reactions
33 Replies
6K Views
Siku 100 za rais wa Ghana Nana Akufo Ado amefanikiwa kuimarisha uchumi alioukuta ukiyumba na kufanikiwa kudhibiti mfumuko wa bei kwa zaidi ya asilimia 12. Pia Ameidhinisha kiasi cha dollar milion...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari, Je, kadi za NMB zinaruhusu manunuzi ya mtandaoni kama amazon, aliexpress n,k? Hii ni baada ya kuwauliza wao wakanijibu ndiyo. Aliyewahi jamani jee ni kweli?
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…