Kwanini US Dollar zinapishana thamani?

KENNY JEEZY

JF-Expert Member
Apr 19, 2015
271
273
Habari wakuu,

Huwa naona kwenye bured de change wanabadilisha dollar kwa thamani tofauti, yaani note moja ya dollar 100 ina thamani kuliko note moja ya dollar 1 kwa mfano;
US $ CASH 50, 100 buy ni 2,228 NA sell ni 2,240
US $ CASH 5, 10, 20 buy ni 2,200 NA sell ni 2,220
US $ CASH 1, 2 buy ni 2,000 NA sell ni 2,220

pili dollar huwa inaisha muda wa matumizi?
 
Hata Euro ni hivyo hivyo .Nadhani wanunuzi wanapendelea noti ambazo ni rahisi kubeba.Haiwezekani mnunuzi anayehitaji dola 10000 ili asafiri kwenda nje anunue noti za dola moja moja , italeta usumbufu tu kwenye ubebaji.
 
Law ya demand na supply inahusika. Dollar ndogo hazihitajiki sana hususani wakati wa kuzinunua ndio maana unaona kuna utofauti wa bei
 
wanasemaga izo ndogo zinatumika sana ulaya ila kwenye kuuza na kununua hazitoki sana ndo maana price ni ndogo
 
Back
Top Bottom