Lionel s Member Mar 9, 2017 48 38 Apr 20, 2017 #1 Naombeni msaada nataka kufungua akaunt ya kibiashara bank ya NMB au CRDB ni nini vinahitajika?
misasa JF-Expert Member Feb 5, 2014 13,918 9,730 Apr 24, 2017 #2 Mkuu nenda bank husika mapokezi(reception) watakuambia vitu wanavyohitaji.Acha uoga mkuu hawatokudhuru.
Mkuu nenda bank husika mapokezi(reception) watakuambia vitu wanavyohitaji.Acha uoga mkuu hawatokudhuru.
Stephen bryson Senior Member Oct 1, 2016 151 126 Apr 24, 2017 #3 Ama kweli kazi ipo, hvi mkuu huna account mpaka leo?
Cannabis JF-Expert Member Jan 20, 2014 10,259 29,652 Apr 24, 2017 #4 1. Biashara Vingine watakuja wajuzi zaidi kusaidia.
I Imapro Member Apr 18, 2012 75 58 Apr 24, 2017 #5 Inatakiwa company registration,TIN,leseni ya biashara,benk zingine na mkataba wa pango wanataka
Kulupura JF-Expert Member Apr 13, 2017 3,053 1,188 Apr 25, 2017 #6 Nenda bank husika kwamaelezo zaidi