Kuanzisha kampuni bila ofisi

Swali zuri, ni kwamba mamlaka husika watataka kujua eneo ya biashara yako ilipo, na watafanya visitation so i gues ni vyema ukawa na office room kabla ya chochote
 
Wakuu
Naombeni msaada, nataka nianzishe kampuni ndogo ambayo itakua inasambaza bidhaa flani

Mtaji wangu ni mdogo sana, je naweza kutumia chumba changu kama ofisi. Sina ela ya kukodi frem
anzisha tu , watu wengi tu wana makampuni na hawana ofisi, wakihitaji offisi waambie unapoishi
 
Back
Top Bottom