Naomba kufahamu zilipo ofisi za agency wa simu za bird kwa Dar

APMS

Senior Member
Feb 16, 2013
106
13
Naomba kufahamu zilipo ofisi za agency wa simu za bird kwa Dar es salaam.samahan kwa usumbufu wa kuu
 
Mmh embu jaribu ku google kidogo..ukishindwa nenda kariakoo jifanye kama unanunua hiyo simu yao,..hapo hapo muulize muuzaji anaweza akakusaidia
 
Office za bird zipo kariakoo, mtaa wa aggrey. Ghorofa linatazamana na bank ya mkombozi
 
Back
Top Bottom