Kadi ya NMB inaruhusu manunuzi mtandaoni?

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,612
4,713
Habari,

Je, kadi za NMB zinaruhusu manunuzi ya mtandaoni kama amazon, aliexpress n,k?
Hii ni baada ya kuwauliza wao wakanijibu ndiyo.

Aliyewahi jamani jee ni kweli?
 
Mimi natumia master card ya nmb huwa nanunua vitu mitandao mbalimbali kama vile Aliexpress,Ebay,Banggood e.t.c!!......Sijawahi kuona tatizo lolote!
 
Habari
Jee kadi za nmb zinaruhusu manunuzi ya mtandaoni kama amazon, aliexpress n,k???
Hii ni baada ya kuwauliza wao wakanijibu ndiyo
Aliyewahi jamani jee ni kweli?

SWALI LAKO NI LA KIPUUZI KABISA ALIYEETENGENEZA KAKUAMBIA INAWEZA NUNUA VITU ONLINE SASA YEYE HUMWAMINI UNATAKA TAARIFA NJE YA WATU ULIOINGIA NAO MKATABA WA KUTUNZA FEDHA ZAKO UKIDANGANYWA AU KUIBIWA UTAMLAUMU NANI VITU VINGINE TUMIENI AKILI HATA YA SHULE YA CHEKECHEKEA HUHITAJI DEGREE KUJUA UKWELI WA KADI YAKO NJE YA ALIYEKUPA KWA SABABU YEYE NDIYO ANIJUA VEMA KULIKO MTU MWINGINE NJE YA NMB
 
Hii taarifa sio sahihi.
- Mmiliki wa kadi husika, ndio anajifungulia account ya Paypal ili aweze ku_link kadi yake. HIvyo wawza kuwa na account ya paypal kabla.
- Paypal Account haifunguliwi benk
- Benk jukumu lao ni kuiruhusu kadi iweze kufanya miamala mtandaoni - Kwa kujaza fomu maalum.
ndo walinipa hayo maelezo.
So najiunga kwenye website yao sio?
 
ndo walinipa hayo maelezo.
Ukweli ni huu kuhusu customer care wa baadhi ya benki
- Huwa hawafahamu kabisa haya maswala ya manunuzi mtandaoni.
- Na hawako tayari kuonyesha kuwa hawafahamu.
- Yaani wewe mteja unakuwa unafahamu kitu ambacho yeye hakifahamu.

- Mfano hai: Nimewahi kukutana na custumer care mmoja hata ku_ print "account statemnt" alikuwa hajui na yupo benki anasubiri kupokea shida za wateja.

Je nini cha kufanya?
- Omba kuongea na wahusika wa Deartment husika ndio watakua msaada stahiki kuhusu haya maswala
- Fanya tafiti ni benki ipi inatoa huduma kiufanisi zaidi bila ubabaishaji.
So najiunga kwenye website yao sio?
- Tumia hii lin kupata ccount ya paypla:
Code:
 https://www.paypal.com/tz/signup/account?Z3JncnB0=
- Hakikisha unasoma post no.1 hapa: Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni Itakupa mwanza zaidi.
 
  • Thanks
Reactions: Ok9
SWALI LAKO NI LA KIPUUZI KABISA ALIYEETENGENEZA KAKUAMBIA INAWEZA NUNUA VITU ONLINE SASA YEYE HUMWAMINI UNATAKA TAARIFA NJE YA WATU ULIOINGIA NAO MKATABA WA KUTUNZA FEDHA ZAKO UKIDANGANYWA AU KUIBIWA UTAMLAUMU NANI VITU VINGINE TUMIENI AKILI HATA YA SHULE YA CHEKECHEKEA HUHITAJI DEGREE KUJUA UKWELI WA KADI YAKO NJE YA ALIYEKUPA KWA SABABU YEYE NDIYO ANIJUA VEMA KULIKO MTU MWINGINE NJE YA NMB
KUNA HAJA GANI KUTUMIA MANENO MAKALI ULIYOTUMIA
 
SWALI LAKO NI LA KIPUUZI KABISA ALIYEETENGENEZA KAKUAMBIA INAWEZA NUNUA VITU ONLINE SASA YEYE HUMWAMINI UNATAKA TAARIFA NJE YA WATU ULIOINGIA NAO MKATABA WA KUTUNZA FEDHA ZAKO UKIDANGANYWA AU KUIBIWA UTAMLAUMU NANI VITU VINGINE TUMIENI AKILI HATA YA SHULE YA CHEKECHEKEA HUHITAJI DEGREE KUJUA UKWELI WA KADI YAKO NJE YA ALIYEKUPA KWA SABABU YEYE NDIYO ANIJUA VEMA KULIKO MTU MWINGINE NJE YA NMB
Duuuh hivi ilifaa kunijib hivi kweli???
Tumia bhas lugha ya staha!
Customer care wengine wa mabenk hawazungumzi ukweli
Sasa sababu ya kunitukana ninini???
 
Ukweli ni huu kuhusu customer care wa baadhi ya benki
- Huwa hawafahamu kabisa haya maswala ya manunuzi mtandaoni.
- Na hawako tayari kuonyesha kuwa hawafahamu.
- Yaani wewe mteja unakuwa unafahamu kitu ambacho yeye hakifahamu.

- Mfano hai: Nimewahi kukutana na custumer care mmoja hata ku_ print "account statemnt" alikuwa hajui na yupo benki anasubiri kupokea shida za wateja.

Je nini cha kufanya?
- Omba kuongea na wahusika wa Deartment husika ndio watakua msaada stahiki kuhusu haya maswala
- Fanya tafiti ni benki ipi inatoa huduma kiufanisi zaidi bila ubabaishaji.

- Tumia hii lin kupata ccount ya paypla:
Code:
 https://www.paypal.com/tz/signup/account?Z3JncnB0=
- Hakikisha unasoma post no.1 hapa: Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni Itakupa mwanza zaidi.
Well done
 
SWALI LAKO NI LA KIPUUZI KABISA ALIYEETENGENEZA KAKUAMBIA INAWEZA NUNUA VITU ONLINE SASA YEYE HUMWAMINI UNATAKA TAARIFA NJE YA WATU ULIOINGIA NAO MKATABA WA KUTUNZA FEDHA ZAKO UKIDANGANYWA AU KUIBIWA UTAMLAUMU NANI VITU VINGINE TUMIENI AKILI HATA YA SHULE YA CHEKECHEKEA HUHITAJI DEGREE KUJUA UKWELI WA KADI YAKO NJE YA ALIYEKUPA KWA SABABU YEYE NDIYO ANIJUA VEMA KULIKO MTU MWINGINE NJE YA NMB
Unapaswa kumuelimisha ndugu..Hakuna aliyezaliwa anajua...Mambo haya wengi hawajui. Swali lake ni la msingi kabisa hukupaswa kumjibu ovyo..Kuna maswali ya kumjibu mtu ovyo lakini hili sio lenyewe hili ni swali zuri sababu kupitia jibu zuri wengi wanapata elimu kuhusu security ya card details zao. Usifanye assumption tu kwamba everything is common sense..
 
SAMAHANI WAUNGWANA HII IMETOKEA KWASABABU YA HASIRA NIMEKUWA NAPOKEA KESI NYINGI ZA WATU KUIBIWA KWA KUTUMIA KADI ZAO ZA BENKI AKIWAMO MTOTO WA DADA YANGU KWA KUTOWAAMINI MAOFISA WA BENKI NA KWENDA KUFUNDISHWA MITAANI JAMBO AMBALO WAJUAJI HUCHUKUA MPAKA PASSWORD ZAO.
 
Kwa hili hatari inaweza kuwa wapi mkuu.?
 
Namba za kadi zikichukuliwa na mtu mwingine utakuwa unamlipia shopping zake zote hivyo suala la fedha benki ni la mteja na benki yake na siyo la kuanika JF au kwa mtu mwingine tofauti na benki
 
Back
Top Bottom