Blessed Son
Member
- Apr 23, 2015
- 34
- 23
Habarini wakuu kati ya kuuza na kubadilisha mitungi ya gesi na kuwa na mashine ya kukamua juis ya miwa ipi iko poa kimaslahi?
Ntaipata wapi mashine ya kukamulia miwa hususani ya umeme?Faida ya juice ya miwa 200%
Habarini wakuu kati ya kuuza na kubadilisha mitungi ya gesi na kuwa na mashine ya kukamua juis ya miwa ipi iko poa kimaslahi?
Ndio maana huwa tunapiga kelele za majungu mara biashara zetu zinapogoma kusimama huku tukiona wahindi, wachaga, wakinga, wachina, waha,wakurya, etc wakifanikiwa kwenye business zao. Kumbe tatizo ni kuibuka tu bila researchNyie watu ambao biashara haipo kwenye DNA zenu mna shida sana, business depend on:
- Location.
- Need.
- Capital.
- Knowledge & commitment.
Sasa wewe unauliza online ipi ni biashara nzuri kati ya gas na mitungi???? hili swali haliwezi kujibiwa vyema bila maelezo mengine.
Bwana ahsante sana kuambia wana niudhi sana. hata kufanya maamuzi ya biashara(simple bussiness decission) anashidwa duh. eti mwanaumme mzima na mke anae!!!!!!!Nyie watu ambao biashara haipo kwenye DNA zenu mna shida sana, business depend on:
- Location.
- Need.
- Capital.
- Knowledge & commitment.
Sasa wewe unauliza online ipi ni biashara nzuri kati ya gas na mitungi???? hili swali haliwezi kujibiwa vyema bila maelezo mengine.