Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Please, Ninayo biashara ambayo watu wanaweza kuinunua online, ninahitaji kutengeneza app nzuri, ninawezeje kuuza vitu vyangu kwa kutumia simu yangu tu? Wenye uelewa, nipeni procedure na namna ya...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Serikali imechukua hatua kufufua shirika mama TTCL ; Kushindana na Makapuni mengine ya simu Chakushangaza katika market strategy ; uwa mtu anaingia sokoni kwa njia mbili 1. Cost 2. Unique of the...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari ya wakati na muda kama huu ndugu zangu watanzania na East Afrika kwa ujumla. Nianze kwa kutoa pole kwa ndugu jamaa na rafiki wote walioko kwenye mfungo. Mwenyezi awajalie wepesi...
18 Reactions
76 Replies
17K Views
Wakuu, vipi kuhusu hii biashara kibongobongo? Prospects zake zikoje? Inalipa au bado haina nguvu sana? Naona watu wengi wanaiongelea ongelea.
2 Reactions
58 Replies
12K Views
Habari zenu, Mimi ni kijana ambaye nimemaliza kidato cha nne mwaka 2007. Nilibahatika kupata div 4 ya point 26 nilipata C tatu. Sikubahatika kuendelea advance nikaamua kujishughulisha na...
4 Reactions
15 Replies
4K Views
nimekuwa mhanga sana katika suala la upangaji wa mishahara na madaraja yake, mfano TGOS,TGS, PSOS n.k watu tunaomba kazi serikalini kwa kuangalia madaraja yale lakini wengi hatuelewi ni kiasi gani...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
TUMEZOEA kuona wateja wakidaiwa na mara nyingi kuamini kwamba, kwa sababu mwenye duka ndiye anayemiliki bidhaa ziuzwazo, uwezekano wa kudaiwa na mteja haupo au ni kwa asilimia ndogo sana. Mtandao...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanajukwaa kheri? Naomba nianze moja kwa moja kwa kujikita katika suala hili la uandaaji mikataba baina ya serikali na mwekezaji. Hii inatokana na haya yanayo jili kila uchao na uchwao inapokuja...
0 Reactions
0 Replies
602 Views
Habarini wandugu mimi na rafikiyangu wote ni watu wa information technology I.T tuna lengo lakuanzisha mobile application itakayo wawezesha watumiaji wa simu kutuma, kupokea na kutoa fedha bira...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Naombeni muongozo nahitaji kufungua kiwanda kidogo cha kuzalisha bidhaa za kusindika na kiwanda cha sabuni za miche mwenye ufahamu au anayefanya ujasiriamali huu naomba anipe maelekezo, naanzaje...
0 Reactions
11 Replies
8K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bullish This pair is bullish in the long-term, but neutral in the short-term (for price has been going sideways for about two...
3 Reactions
0 Replies
505 Views
Kwanza niwasalimu nyote mlio fungua uzi huu kwa heshima mliyo onesha kwani hamkujua nini nimeandika ila natunaini hamta jutia. Leo napenda tuangalie busara na maarifa yapatikanayo katika vitabu...
25 Reactions
26 Replies
6K Views
Wadau heshima kwenu, Hope humu kuna watu wengi walishafanya hii biashara na kujua changamoto zake, nimeoa wilaya moja mkoani kwetu huko kuna fursa ya kufungua ka-kiwanda kidogo cha kutengeneza...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari Wajasiriamali na Ma expexted Entrepreneurs. Nilikuwa na pitia Uzi wa ONTARIO that is very nice stories na watu wana furahia sana kusikiliza story za mafanikio. Watu wanapata hamasa sana...
3 Reactions
1 Replies
958 Views
Maana ya wazo la biashara Kabla mtu hajaanza biashara, huwa anaanza kupata wazo la nifanye nini? Mawazo haya hupitia hatua kuu mbili: 1. Hatu ya kwanza Mawazo mbalimbali humiminika kichwani kwa...
7 Reactions
6 Replies
11K Views
Jana machinga wameitwa na kupewa TIN number wamefurahi sanaa pasipo kujua kazi ya TIN ni nini! Binafsi nimefurahi sanaa kwasababu wakishajua ukweli wa haya mambo TIN number hawa TRA...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wandugu, naomba msaada jinsi ya kubadilisha umiliki wa biashara... naamisha kusajili a private limited company kutoa kwenye a sole proprietorship.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natumai nyote mu-buheri wa afya Enyi wana wa nuru. Nimeona ni jambo la kheri tukageuza macho yetu katika vitabu vitakatifu tuone Mwenyezi Mungu anatuasa nini kuhusu swala zima la uchumi. Na zaidi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari za wakati wana jamvi! Ninalo langu swali la kutaka kujua taratibu za mikopo kutoka taasisi za fedha. Nimewahi kukopa katika bank moja na bado ninalipa mkopo Niliwahi kusikia kuwa kuna...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
18 Replies
5K Views
Back
Top Bottom