Kununua na kusafirisha bidhaa kutoka Marekani

AngelDC

New Member
Apr 27, 2016
3
2
Habari,
Mimi naishi Marekani nataka kuanza biashara ya kusaidia kununua na kusafirisha chochote kile kutoka marekani.

Unachotakiwa ni kwenda online kisha unaamua nini cha kununua unanitumia link ili niweze kukusaidia mpaka mzigo ufike kwa muhusika.

Ila kabla sijaanza rasmi nilikuwa nijue kama kuna watu watakuwa tayari kutumia service zangu.

Unaweza kuwasiliana nami kwa email: dasyoni@outlook.com, +1(714)831-1990
 
habari,
Mimi naishi Marekani nataka kuanza biashara ya kusaidia kununua na kusafirisha chochote kile kutoka marekani. Unachotakiwa ni kwenda online kisha unaamua nini cha kununua unanitumia link ili niweze kukusaidia mpaka mzigo ufike kwa muhusika. Ila kabla sijaanza rasmi nilikuwa nijue kama kuna watu watakuwa tayari kutumia service zangu.
unaweza kuwasiliana nami kwa email: dasyoni@outlook.com, +1(714)831-1990

Habari nzuri hii,
Ila ni kuwa unataka kuanzisha biashara au una biashara ya kusafirisha mizigo?
 
nzuri sana hii mie nisaidie bei ya vitabu nitanunua kwelikweli maana nina maktaba yangu una uhaba kweli wa vitabu
 
Mkuu hili ni bonge la wazo na watu utapata wengi mnoo wala usihofu.

Binafsi nilikuwa Nina hamu sana mtu mwenye wazo hili ajitokeze, ishu kubwa ninayo iona ambayo inabidi utafute namna ya kuikabili ni uaminifu. Binafsi Nipo tayari hata leo kukuagiza mzigo lkn sina uhakika Kama naweza kukuamini kwahiyo fanya uje na njia ya kujenga Imani kwa wateja.

Mwisho nakushauri uanze kulifanyia kazi hili wazo, andaa bei zako, taratibu na namna utakavyo aminika then uanze kujitangaza.
 
Labda niulize nkitaka nianze biashara niwe na mtaji wa bei gani ili niweze kukutumia mpunga unichukulie bidhaa
 
Habari,
Mimi naishi Marekani nataka kuanza biashara ya kusaidia kununua na kusafirisha chochote kile kutoka marekani.

Unachotakiwa ni kwenda online kisha unaamua nini cha kununua unanitumia link ili niweze kukusaidia mpaka mzigo ufike kwa muhusika.

Ila kabla sijaanza rasmi nilikuwa nijue kama kuna watu watakuwa tayari kutumia service zangu.

Unaweza kuwasiliana nami kwa email: dasyoni@outlook.com, +1(714)831-1990
Uko State na mji gani mkuu....?
 
Naomba kujua malipo yanafanyikia wapi, una ofisi bongo au? Hata mi natamani kununua mzigo usa kuna kitu nataka niagize tika ebay ila tatizo wauzaji mara nyingi hawaship to africa au tanzania
 
Mkuu nataka kuagiza mzigo, mzigo utatokea Miami, ila jamaa Wako na matawi zaidi 100 US yote, mzigo utakua na uzito wa pounds 100, na utakua packed kwenye package moja, nilikua nawasiliana na FedEx na UPS ili niwatumie Ku ship mzigo wangu, wewe unafanyaje kazi zako, unategemea kutumia hizi hizi Shipping company? Au umeandaa utaratibu? Kazi yako inakua ni ipi kama nimeshalipia mzigo? Ni wewe kuhahikikisha mzigo unasafirishwa kwa wakati ama vipi, na gharama zako zikoje?
Unaweza kuanza na Mimi mkuu! Coz hapa nasubiri nijue cost za Ku ship mzigo nilipie then nilipe kwa Shipping broker.....ungefunguka zaidi kama tayari Una kampuni ndogo au unafanya kama individual? Utaratibu wao ni kwamba naongea na Shipping company then nawajulisha, nalipia nawapa mawasiliano Yao, then kwenda kwa Shipping company nalipia nawapa information za sehemu mzigo ulipo, wao wanawasiliana then mm naweza kufatilia mzigo wangu hata kwa website Yao.
Wewe kazi yako itakua wapi?
 
Habari,
Mimi naishi Marekani nataka kuanza biashara ya kusaidia kununua na kusafirisha chochote kile kutoka marekani.

Unachotakiwa ni kwenda online kisha unaamua nini cha kununua unanitumia link ili niweze kukusaidia mpaka mzigo ufike kwa muhusika.

Ila kabla sijaanza rasmi nilikuwa nijue kama kuna watu watakuwa tayari kutumia service zangu.

Unaweza kuwasiliana nami kwa email: dasyoni@outlook.com, +1(714)831-1990

Vp ulifanikiwa kuanza kuifanyia kazi hili wazo? Nahitaji hii huduma
 
Back
Top Bottom