Naomba kufahamu jinsi ya kuwa wakala wa makampuni ya sports Bet Arusha

fanuel nary

Senior Member
Mar 12, 2014
128
59
Mwenye ufahamu anisaidie utaratibu wa kuwa wakala wa sports betting Bila kujali ni kampuni ipi Kuna fursa nimeona hapa mtaa naona watu wengi ikifika wkend wanajazana kupiga Ramli tu,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii mada jana nimeifuatilia nikaona mwanga mzuri,lakni nilipofungua ile blockchain kama kiongozi alivyoeleza hapo nikashindwa kujaza detail wanazoomba labda atuelekeze namna ya kujaza ni detail gani zinatakiwa hasa
 
a35599d53c5f6e7a88661ad2a4641173.jpg
 
Back
Top Bottom