Je, biashara ni mkombozi kwa wanafunzi watakao kosa mikopo?

hamasisha

New Member
Sep 20, 2017
3
2
Dalili zinaonesha upatikanaji wa mkopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu ni changamoto. Mitazamo ya nje ya box yamkini itasaidia.
 
Inategemeana na Mtu mwenyewe, anaweza fanya biashara akaja soma baadae mbele ya safari.

Ila lazima.Wabongo sasa kwa speed ile ya kuchangishana Harusi basi tuanze kuchangishana kwa ajili ya Ada
 
Unaweza fanya biashara na ukawa mbali kuliko waloenda shule komaa lolote laweza kutokea
Mimi naona kama tusitumie usemi huo...ila tuseme yakwamba kwenye njia ya mafanikio pita mengine yataungana.

Kijana anaweza asisome lakini aweke akilini kwamba maisha nikupambana maana wote tunataka kufika sehemu flani ya mafanikio.
 
Unalosema ni sahihi kabisa ila mi naona kubaki mtaani ni shortcut ya kujijenga kiuchumi haraka sababu hata atae enda chuo bado akiludi atahitahitaji kujijenga kwa ishu zake binafsi ukiachana na kazi ingawa kitaa changamoto zake ni nyingi kijana awe tayari kwenda chuo au kubaki kitaa ila kwangu naona kubaki kitaa sio failure kwamba mafanikio ndo bac.hapana mtaani ni rahisi kufanikiwa hasa ukiwa na lengo juhudi na kutumia akili kwa sana
 
Ni ngumu ila ni rahisi kwa wale waliokomaa kifikra.
Maana kijana wa kitanzania ukimwambia afanye biashara apate hela za kujisomesha atakuona kama gundu vile.Not everybody is ana entrepreneur
 
Unalosema ni sahihi kabisa ila mi naona kubaki mtaani ni shortcut ya kujijenga kiuchumi haraka sababu hata atae enda chuo bado akiludi atahitahitaji kujijenga kwa ishu zake binafsi ukiachana na kazi ingawa kitaa changamoto zake ni nyingi kijana awe tayari kwenda chuo au kubaki kitaa ila kwangu naona kubaki kitaa sio failure kwamba mafanikio ndo bac.hapana mtaani ni rahisi kufanikiwa hasa ukiwa na lengo juhudi na kutumia akili kwa sana
Tuko pamoja. Bado pointi ni ile ile..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom