Naombeni kufahamu kuhusu Ile ishu iliyo teka hisia na masikio ya watu

Manfighter

Member
Jun 22, 2017
88
43
Kipindi cha nyuma kulikuwa na taarifa ya kujengwa kwa bandari mpya ya mwambani. je ule mpango bado upo au ujio wa bandari ya kusafirisha mafuta ya chongoleani umekwamisha.. pia napenda kufahamu kuhusu ule ujenzi wa kiwanda kikubwa cha saruji amboni tanga umeanza au laa..
 
Back
Top Bottom