Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wadau wa jukwaa hili salaam zenu wote, Leo ni nane nane na wengine tumetembelea au tuna mpango wa kutembelea maonyesho mbali mbali ya wakulima. Kwenye banda moja mfanyabiashara/mkulima huyu...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Viwanda vinahitaji malighafi ya uhakika ili viweze kuzalisha kwa mwaka mzima. Vile vinavyotumia malighafi ya mazao ya kilimo na ufugaji vitahitaji ukulima na ufugaji wa kibiashara unaozingatia...
0 Reactions
0 Replies
616 Views
1 Reactions
35 Replies
12K Views
Mwenye uelewa wa lini msimu wa maembe unaanza au wapi zinapatikana kwa sasa, tafadhali naomba kujulishwa..nimepata soko kubwa la ku supply.
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari zenu wana jf, naweza kupata mtaalam wa kuniandalia return za TRA na gharama zinakuwaje? Nawasilisha. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwanza niwasalimu nyote mlio fungua uzi huu kwa heshima mliyo onesha kwani hamkujua nini nimeandika ila natunaini hamta jutia. Leo napenda tuangalie busara na maarifa yapatikanayo katika vitabu...
19 Reactions
28 Replies
5K Views
Habari zenu, Nipo Dar es Salaam na nina misaada nataka kutoa kwa watoto yatima (na pampers labda kwa ajili ya hospitali?) ila sijui pa kwenda. Nahitaji kufahamu ni wapi ninapoweza kupata taarifa...
1 Reactions
8 Replies
6K Views
Habari za sahiz .ningependa kujua HV hii biashara ya cable TV IPO kihalali (tcra ) wameiifhinisha? Maana ninachoona ni kama wanawanyonya weny makampun ya ving'amuzi(Azam,zuku, nk) na kama IPO...
0 Reactions
22 Replies
7K Views
Wadau wa JF nataka kujua soko la asali kwa upande wa Dar Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Habari wadau, Nataka kujua kwa mtu mwenye ufahamu na biashara ya kuleta mifugo sokoni..i.e vinguguti. Soko la wanyama kama ng'ombe au mbuzi kwa mzoefu anipe mchanganuo kuwasafirisha mpaka kuja...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mkuu wa masuala ya Teknolojia na Ufundi Zantel, Larry Arthur (wa pili kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kisiwani Zanzibar hivi karibuni kuhusu uboreshwaji wa mtandao wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
  • Poll Poll
Wadau kuna suala napenda niliweke kwenu mnisaidie mawazo. Kume kua kuna ongezeko la Kampuni Nyingi Duniani Kama si Tanzania kujiita " Group" yani kwa Mfano : Bakhresa Group of Companies , Virgin...
0 Reactions
15 Replies
8K Views
Maxcom Africa ni kampuni iliyoanzishwa mnamo mwaka 2010 nchini Tanzania, Maarufu Kwa jina la maxmalipo. Kampuni hii imejikita katika kutoa huduma za ulipaji wa bili na tozo mbalimbali Kwa kutumia...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Naomba kujua kuhusu bei na vigezo wanavyo2mia ktk kufanya nao biashara.Pia kwa mwenye contact zao,anaweza kunipa.Nawasilisha!
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Habar wapendwa naomba msaada juu ya zao la papai na gharama zake had yakue. Natashukuru nikipata majibu Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
2 Replies
1K Views
hivi hawa TRA kila siku wanatangaza madeni ya wengine. Je, wenyewe wahadaiwi ? Kama wanadaiwa wanalipia wapi ? kama hawalipi kwa nn ?
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari za jioni wadau. Juzi tarehe 17 mwezi huu wa name nilifanya muamala kupitia huduma ya vodacom Mpesa , sasa tangu iyo majuzi hela haikwenda nilikokusudia na kila nikiwapigia huduma kwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habarin za wikendi wanajamvi, mi sio mtu wa kuposti sana thread ila leo nimeona niombe ushauri au wazo kutoka kwenu wadau. I mean nimesajili company na taratibu zote za kuisajili zimeshamalizika...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Link Sokofasta Sellers Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
832 Views
Back
Top Bottom