Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habarini za muda huu? Poleni sana na majukumu ya kila siku, Leo nimekuja na swali ndugu zangu, kwa atakayekuwa mjuzi basi atatusaidia kutuelewesha sote tunao hitaji uelewa juu ya hili. Kima cha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu Nafrkri mko Poa kwa wenye matatizo polen. Naomba tupeane ujuzihapa nibiashara gani ambayo naweza toa Uganda nikaleta Tz ikanipa Faida hasa solo lake Liwe ktk mkoa wa mwanza Na...
0 Reactions
8 Replies
7K Views
Watu wengi sana tumekuwa tukijikuta tunashindwa kufanya maaamuzi muhimu Katika Maisha tu Kwa kuogopa "WATU WATANIONAJE " hii Watanionaje Syndrome ni ugonjwa mmbaya sana sababu ni Kitu ambacho ni...
13 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari waungwana,naomba kujuzwa,kuna mtu anataka kunitumia ela yupo MAREKANI,naweza tumia njia gani ili nifanikishe kuipata,
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zenu wana ndugu ni Bank gani nzur kwa sasa inayotoa mikopo kwa wafanyakazi na inatumia reducing balance na pia mkopo uwe wa muda mrefu?
0 Reactions
32 Replies
12K Views
Ili uchumi wa Tanzania ukue na kuendelea tunahitaji kuwa na vijana wenye nguvu, na akili timamu na wanaomcha Mungu, sasa vijana wengi wa Tanzania wenyewe kazi yao ni umbeya tu kusikiliza habari za...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu, jana majira ya mchana nilipita maenea ya njiro palipo na kiwanda kilichowahi kujulikana kwa jina la general tyre... Nilichokuona sikukielewa, kulikuwa na harufu kali kama ya kuchoma...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Heshima kwenu wanajamvi, Wakuu General Tyre inafanyiwa ukarabati mkubwa wa majengo na mashine/mitambo kwaajili ya kuanza uzalishaji mwakani Mungu akipenda.NDC wamekabidhiwa kazi ya kuifufua...
28 Reactions
78 Replies
8K Views
Huwa kuna ufanano fulani kati ya Ujasiriamali na Mapenzi, ufanano wao ni kwamba Mapenzi hayafundishwi, hakuna chuo Duniani cha kufundisha mtu kupenda mtu. Kwamna unaingia Darasani kufundishwa...
3 Reactions
11 Replies
5K Views
Great thinkers, Habari za asubuhi. Ninaomba kusaidiwa kuelimishwa namna biashara kwa njia ya mitandao inavyofanywa. Nitafafanua ili nipate ushauri unaokidhi shauku yangu. Mfano nataka...
0 Reactions
1 Replies
760 Views
Habari wana jamii wote, Nina eneo Arusha linakaribia kufika heka moja, je napataje muwekezaji wa kujenga lodges ila kabla ya ujenzi tutaingia makubaliano maalumu na namna ya kulipana huko...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu hapa tuwe tunapeana bei za madafu za kila siku kwa kutumia bei zilizotundikwa kwenye bureau de change mbalimbali hapa Tanzania. Imebidi nianzishe uzi huu baada ya kushindwa kujua gharama za...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Unavyosikia kwamba hela ni wazo ina maana chimbuko lake ni kwenye akili lakini swali kubwa ni akili zetu zina nini? Hilo ndiyo swali kubwa haswa. Ukiona hela hauwezi kuipata angalia kwanza kwenye...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
“If there were a cornerstone to trading it would be the ability not only to be resilient when in drawdown but also to accept that we get things wrong. Sometimes there is a flaw in our methodology...
0 Reactions
0 Replies
607 Views
- Mirinda siyo kampuni bali ni Trademark ya PepsiCo, Je, nikisema nisajili kampuni yangu kwa jina Mirinda ni kosa kisheria ? - Na je, kilichosajiliwa ni Neno MIRINDA au Logo yake au hakuna...
0 Reactions
47 Replies
4K Views
Habari zenu wapambanaji wenzangu. Kwa Leo ninayo machache juu ya mambo ya hisa za vodacom. Tunajua ni jinsi gani zilipigiwa upatu kuwa biashara itakayokuja kututoa kimasomaso lakini kwa sasa...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Picha ambayo watu wengi ambao hawapo kwenye biashara wanayo kuhusu biashara ni kwamba biashara ni sehemu ya kufaidika wakati wengine wanaumia. Huwa wanafikiri kwamba kwenye biashara unahitaji...
2 Reactions
2 Replies
5K Views
Vodacom M-Pawa wamekuwa wakifanya vizuri juu ya mikopo kwa wateja wao ila kwa sasa hyo huduma imekosekana kwa baadhi ya wateja au labda sjui kama ni wote mikopo haitoki na baadhi tumesha jazà na...
0 Reactions
18 Replies
65K Views
Wana JF habarini Naombeni msaada wakuu nahitaji mkopo bank kwa kuweka bond kiwanja changu hekari 2 ambacho hakina hati miliki nilikinunua tu kawaida kwa kupata barua za Mwenyekiti wa serikali ya...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu nauliza kama una basi moja la yutong linaenda safari za dar to songea faida yake kwa siku ni shilingi ngapi ukitoa pesa ya mafuta na matumizi mengine...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom