rushanju
JF-Expert Member
- Nov 3, 2011
- 3,130
- 4,620
Baada ya bei ya mafuta kusuasua duniani Angola ambayo ni moja ya nchi zinazozalisha mafuta kwa wingi Afrika, sasa imeamua kujitika katika kilimo cha ndizi ili kujipatia fedha za kigeni. Tutatazama kilimo cha ndizi katika eneo la Caxito. Je unadhani kilimo kitaweza kuziba pengo la kipato cha mafuta? ....source BBC.
Maoni yangu...
Kama kwa hali hiyo hapa mafuta bei iko juu kiasi hiki. Je yakipanda sijui hapa kwetu itakuwaje?
Maoni yangu...
Kama kwa hali hiyo hapa mafuta bei iko juu kiasi hiki. Je yakipanda sijui hapa kwetu itakuwaje?