Naomba kujua mtaji wa kawaida kwa mtu anaeitaji kuanzisha gym

Adolph

JF-Expert Member
Sep 26, 2010
895
346
Wakuu nianze na salam
Nina mtaji wangu wa tsh 7,000,000/= na eneo ninalokaa hakuna gym yoyote na watu wenye uhitaji wa gym ni wengi mno...ningependa nianzishe gym centre ila tatizo sina uzoefu hata kidogo na hii biashara..

Ningependa kuomba ushauri wenu je kwa mtaji huo naweza kuanzisha gym ?
Je kwa mtaji huo naweza kuanzisha gym itayokuwa angalau na sifa za gym?
Je ni vitu gani vya muhimu vya kuzingatia na wapi nitakaponunua vifaa kwa bei nafuu?....

Ningependa gym iweze ku-accommodate watu 10 kwa wakati mmoja.. Kuhusu suala la eneo halina shida maana ukumbi upo.
Naombeni ushauri wenu wadau
================================================
MASWALI MENGINE KUHUSU BIASHARA HII
================================================
Habari zenu wapendwa jamani mie nimekuwa na wazo la kuanzisha gym, naombeni mawazo yenu maana sio mzoefu sana na mambo hayo ila naona ni business nzuri, tatizo nilitaka kujuaa ni upatikanaji wa vifaa, eneo la biashara hiyo na changamoto mbalimbali naomba michango yenu jamani, na hata mtaji natakiwa nianzie na mtaji wa kiasi gani. asanteni

Ninahitaji kuanzisha Gym ndogo ya kawaida tu je kwa manunuzi ya vifaa tu nahitajika kuwa na sh. Ngapi??

============================================
MAJIBU KUTOKA KWA WADAU MBALIMBALI
============================================
Mimi binafsi kama ningelikuwa ni wewe kitu cha kwanza kabla sijaanza kuufikiria huo mradi ningemtafuta lawyer aliyebobea ktk sheria za michezo na wanamichezo pamoja na biashara za michezo,biashara ya Gym ina regulations nyingi sana ambazo nyingi zake zitakula noti yako sana,mimi nina rafiki mmoja ninajaribu kumpata hivi sasa ambaye baba yake ndio watu wa kwanza kuanza hiyo biashara hapa nchini nafikiri kama umewahi kumsikia ni maarufu sana hususani ktkruninga anaitwa mzee Hamza Kassongo huyu mzee mtoto wake mkubwa ni rafiki yangu nilikuwa nacheza naye kabumbu Dar zamani nakuahidi siku akipatikana nitakujuza habari zote nitakazopata tokea kwake kuhusu hiyo biashara unayotaka kujihusisha nayo.Usikate tamaa ndugu yangu hapa ni mahali pazuri unaweza ukapata msaada kuhusu swali lako.M/Mpamba.

Mtaji wa kwanza Baunsa, utakuwa unamlipa kama mwalimu 300,000/month kwa mwaka 3.6mil na pesa ys kula kila siku. Unahitaji kukodi jengo tena lenye nafadi ya kutosha kwa ajili ya maxoezi mbalimbali 500,000/= per months kwa mwaka 7.2mil, vifaa vile basic yani vyuma, smith machine, bench, baskelu, kamba vitakugarimu milioni 15. Radio na tv 0.5 mil. Jumla ni kama mil 27 inatosha kama mtaji
 
Habari zenu wapendwa jamani mie nimekuwa na wazo la kuanzisha gym, naombeni mawazo yenu maana sio mzoefu sana na mambo hayo ila naona ni business nzuri, tatizo nilitaka kujuaa ni upatikanaji wa vifaa, eneo la biashara hiyo na changamoto mbalimbali naomba michango yenu jamani, na hata mtaji natakiwa nianzie na mtaji wa kiasi gani. asanteni
 
Biashara ya Gym ni nzuri moja ya faida zake ni kwamba ikuincur cost in the begining kwenye vifaa then unaweza kutumia vifaa hivyo for more 20 years...kipindi hicho chote unakuwa unamega faida ok cost za mwanzo ni kubwa na kwa sasa trend ya life style kila mtu anataka kujiweka fiti zi mkubwa so mtoto ...Kama unahisi unamtaji wa kutosha sisi tunaweza kukufanyia turnkey project yani kila kitu kwentu kuanzia kuarange vifaa,kuandaa jengo interio na kila kitu mpaka kuleta the best trainers hata kama ukitaka kutoka nje

pm
 
Biashara nzuri ila mtaji mkubwa

then.inabid uwe mtaalam wa haya mazoez ili uweze kusupervise wateja wako
 
Mimi binafsi kama ningelikuwa ni wewe kitu cha kwanza kabla sijaanza kuufikiria huo mradi ningemtafuta lawyer aliyebobea ktk sheria za michezo na wanamichezo pamoja na biashara za michezo,biashara ya Gym ina regulations nyingi sana ambazo nyingi zake zitakula noti yako sana,mimi nina rafiki mmoja ninajaribu kumpata hivi sasa ambaye baba yake ndio watu wa kwanza kuanza hiyo biashara hapa nchini nafikiri kama umewahi kumsikia ni maarufu sana hususani ktkruninga anaitwa mzee Hamza Kassongo huyu mzee mtoto wake mkubwa ni rafiki yangu nilikuwa nacheza naye kabumbu Dar zamani nakuahidi siku akipatikana nitakujuza habari zote nitakazopata tokea kwake kuhusu hiyo biashara unayotaka kujihusisha nayo.Usikate tamaa ndugu yangu hapa ni mahali pazuri unaweza ukapata msaada kuhusu swali lako.M/Mpamba.
 
Mimi binafsi kama ningelikuwa ni wewe kitu cha kwanza kabla sijaanza kuufikiria huo mradi ningemtafuta lawyer aliyebobea ktk sheria za michezo na wanamichezo pamoja na biashara za michezo,biashara ya Gym ina regulations nyingi sana ambazo nyingi zake zitakula noti yako sana,mimi nina rafiki mmoja ninajaribu kumpata hivi sasa ambaye baba yake ndio watu wa kwanza kuanza hiyo biashara hapa nchini nafikiri kama umewahi kumsikia ni maarufu sana hususani ktkruninga anaitwa mzee Hamza Kassongo huyu mzee mtoto wake mkubwa ni rafiki yangu nilikuwa nacheza naye kabumbu Dar zamani nakuahidi siku akipatikana nitakujuza habari zote nitakazopata tokea kwake kuhusu hiyo biashara unayotaka kujihusisha nayo.Usikate tamaa ndugu yangu hapa ni mahali pazuri unaweza ukapata msaada kuhusu swali lako.M/Mpamba.

Wazo ni Zuri kaka,suala la msingi ni mtaji mkubwa bila kusahau kuwatafuta wataalam wa michezo wakupe ushauri wa kisheria zaidi.
 
Wapendwa habari,naombeni kujuzwa kwa mwenye utaalamu na biashara ya gym,mtajibwa kawaida wa kuanzisha inawezakuchukua kiasi gani cha pesa

Karibuni wana jf
 
Naitaji msaada wa kujua mtaji wa gym , kwa watalaam naomba mnijuze ikiwemo na vifaa ambavyo ni muhimu kwa mtu anaeamzisha biashara ya gym

Karibuni
 
Mtaji wa kwanza Baunsa, utakuwa unamlipa kama mwalimu 300,000/month kwa mwaka 3.6mil na pesa ys kula kila siku. Unahitaji kukodi jengo tena lenye nafadi ya kutosha kwa ajili ya maxoezi mbalimbali 500,000/= per months kwa mwaka 7.2mil, vifaa vile basic yani vyuma, smith machine, bench, baskelu, kamba vitakugarimu milioni 15. Radio na tv 0.5 mil. Jumla ni kama mil 27 inatosha kama mtaji
 
Naitaji msaada wa kujua mtaji wa gym , kwa watalaam naomba mnijuze ikiwemo na vifaa ambavyo ni muhimu kwa mtu anaeamzisha biashara ya gym

Karibuni
https://www.instagram.com/vifaa_vya_mazoezi/

Mkuu mcheck huyo jamaa atakusaidia na anauza na vitu nazani ni bora ukaanza na vitu basic then una upgrade ila ukipata bench na vyuma vyake set, tread mill ya manual usianze na umeme kupunguza running cost, dumbbell jamaa ana kila kitu hata kwa ushauria atakupa

Disclaimer.. mimi ni mteja tu nilinunua vitu kwake sina uhusiano mwingine. Kild la heri mkuu ila ninaplan ya kuinvest ktk gym in next 1 yr so ukifanikiwa naomba mrejesho wako
 
Back
Top Bottom