Naomba msaada kwa mtu anaefahamu juu ya soko LA hisa. Stock exchange

FransiscoChanimbaga

New Member
Jul 4, 2017
3
1
Habari JF members.

Naomba msaada kwa yeyote anaefahamu kuhusu soko LA hisa, namna ya ufanyaji kazi na maelezo kuhusu hio. Hata kama kwa uchache nitashukuru. Karibuni sana.
 
Kuna nyuzi nyingi zinaelezea humu, unaweza download vitab kama Random walk down wall street, financial investment by Ben Graham pia watu kama Warren Buffet, Phil Fisher na George Soros wameandika Vitabu ving vzr ukihitaji naweza kukutumia.
 
Back
Top Bottom