Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Mimi namiliki gari aina ya center yenye uwezo wa kubeba tani 2. Nimeajiriwa na kampuni za bandarini hivyo natakiwa kila Siku ofisini gari nmepaki tu nyumbani. Wikend napata muda wa kutumia gari...
0 Reactions
37 Replies
9K Views
Hawa jamaa wa BRELA wametumia BILIONI 1 kununua software ( kuna taarifa ni kwa njia ya utatanishi kwani haikutangazwa hata hiyo tenda) bonyeza section ya services kwenye hii website below...
0 Reactions
95 Replies
22K Views
Mfanyabiashara Aliko Dangote amefungua kiwanda cha saruji chenye thamani ya dola milioni $300 nchini Congo Brazzaville ambacho kina uwezo wa kuzalisha tani 1.5 milioni kwa mwaka. ========= The...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Wakulu, Kutoka katika ajira ya kuajiriwa na kuingia katika ajira ya binafsi ni kazi kubwa.Mimi niko njia panda nataka kupata mkopo wa kununua truck ili hata nikiacha kazi yangu ya kuajiriwa...
0 Reactions
43 Replies
23K Views
Wakuu habari za hapa,natumaini mko salama.Wakuu kuna watu wananifuata inbox face book na kunishawishi nijiunge na hiyo Aim globe.sasa mpaka naileta kwenu hapa in kqamba naogopa kuingia choo cha...
0 Reactions
1 Replies
802 Views
i have reached the threshold on adsense Lakini bado sijajua njia ya kutoa pesa hizi au kinachoendelea nimeshaset Western union kama Primary way to get my Revenue ila bado hawajanitumia lolote!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Bank of Tanzania. The Bank of Tanzania (BoT) has issued another business license to Creditinfo Tanzania Limited, a credit reference bureau based in Dar es Salaam. A brief statement issued by the...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwanza nikiri kwamba sijui chochote kuhusu uchumi.Ninavyofahamu mimi ni kwamba uchumi wa nchi unapokuwa mkubwa na ndivyo thamani ya pesa yako inavyokuwa kubwa/imara linapokuja swala la masoko...
0 Reactions
22 Replies
8K Views
Wakuu habari za hapa, natumaini mko salama, Wakuu kuna watu wananifuata inbox facebook na kunishawishi nijiunge na hiyo Aim globe. Sasa mpaka naileta kwenu hapa in kwamba naogopa kuingia choo...
1 Reactions
0 Replies
878 Views
Habari wadau, nimepata vijisenti kiduchu na kuona kama naweza angalou nunua kausafiri hivi. Nataka kuñunua NISSAN X TRAIL ya mwaka 2007 ambayo ni dolali 4115 ila wanasema tax and duty haipo. Je...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimesoma kwenye mitandao nikakutana na kitu Online Forex business. Nimejaribu kusoma lakini sijaelewa sana. Yaani kununua currency moja na kuiuza kwa currency nyingine online, Mwenye uelewa...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu kama uzi unavyojieleza Kati ya mbuzi na kuku ufugaji upi unaweza kukupa tija bila kukumbana na majanga ya magonjwa kama kuku mfano gomboro. Kideli nk.. Najua Kuna watu humu wameula wa chuya...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu habari za Leo,Mimi sio mgeni sana hapa Jf Ila acc yangu ya mwanzo nimeshindwa kuitumia Kwa ss,.. Naomba kujua uzoefu Wa wafanyabiashara Wa Mpya za dukani hasa wale Wa Arusha na maeneo ya...
0 Reactions
23 Replies
10K Views
Habari za muda huu wana jamii forum Nahitaji mnisaidie tafadhalini, Ninataka kuwa wakala, ila nataka sehemu yenye mkusanyiko mkubwa wa watu hapa Dar es salaam, yani yenye muingiliano wa watu...
0 Reactions
34 Replies
6K Views
Hallo JF, Kama kuna mtu anaweza kuandika katiba ya NGO (Christian NGO) tuwasiliane kwa PM saivi kuna katiba inahitajika bei maelewano. Asante.
0 Reactions
14 Replies
8K Views
Habari, Leo baada ya king'amuzi changu kuisha salio nimebakiwa na channel moja ya kutazama, si nyingine bali TBC. Naona hapa kipindi cha "this week in perspective". Wanajadili mambo mazuri ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bullish This pair went upwards last week, after moving sideways on Monday and Tuesday. Price gained 210 pips, closing above the...
2 Reactions
1 Replies
705 Views
Nina wazo 1. Hapa nilipo kuna mialo ya kupembua dhahabu.(kwa walioishi machimboni wanajua). Sasa wanapakia marudio kwa makoleo. Nawaza nikipata kijiko cha kupakia kinaweza kurahisisha kaz maana...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom