Nini uzuri na ubaya wa vigae vinavyoundwa na wakala wa ujenzi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini uzuri na ubaya wa vigae vinavyoundwa na wakala wa ujenzi?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Nteko Vano, Jun 6, 2012.

 1. N

  Nteko Vano JF-Expert Member

  #1
  Jun 6, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 436
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wana JF

  Katika pitapita yangu nikakutana na waheshimiwa wa wakala wa ujenzi na vigae vya kuezekea nyumba. Vigae hivi ni bei nafuu na inawezekana vikawa mkombozi kwa mtanzania, kigae kimoja ni sh 350/= na kwa nyumba kubwa self ya vyumba vitatu hadi 4 vigae takribani 2000 hadi 2500 vinahitajika. Unaweza ukaezeka kwa laki 7 hapo.

  Je, ubora wa vigae hivi ukoje? Kwa wale wenye uzoefu na vigae hivi naomba tupeane ushauri.

  Nawasilisha.
   
 2. High Vampire

  High Vampire JF-Expert Member

  #2
  Oct 7, 2014
  Joined: Nov 17, 2012
  Messages: 2,054
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Wakala WA ujenzi wanapatikana sehemu gani mwanza wapo
   
 3. Obama wa Bongo

  Obama wa Bongo JF-Expert Member

  #3
  Oct 7, 2014
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 4,767
  Likes Received: 2,494
  Trophy Points: 280
  wapo dar pale mwenge sam nujoma karibu ka hospital ya jeshi
  wanaitwa national housing and building research agency
  jaribu pia kutembelea wavuti yao
   
 4. High Vampire

  High Vampire JF-Expert Member

  #4
  Oct 7, 2014
  Joined: Nov 17, 2012
  Messages: 2,054
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  mimi nipo mwanza sitakuwa tena ishu ya kusafirisha kwani mikoani hawana matawi
   
 5. brave_3

  brave_3 JF-Expert Member

  #5
  Oct 7, 2014
  Joined: Jun 9, 2014
  Messages: 953
  Likes Received: 300
  Trophy Points: 80
  kwani mkuu vigae vingine vinauzwaje?
   
 6. serio

  serio JF-Expert Member

  #6
  Oct 7, 2014
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 5,925
  Likes Received: 1,134
  Trophy Points: 280
  Hukufanikiwa kupiga ka picha?? Ni vigae vya clay, au bati??
  Alaf ulivyo sema wakala wa ujenzi nikajua TBA
   
 7. NITATOA USHUHUDA

  NITATOA USHUHUDA JF-Expert Member

  #7
  Sep 1, 2017
  Joined: Jul 6, 2017
  Messages: 548
  Likes Received: 447
  Trophy Points: 80
  hivi bei kwa sasa ni shilingi ngapi
   
Loading...