Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Hamjambo wakuu, Napenda kufahamu namna watengenezaji wa sabuni majumbani wanavyopata faida, hasa sabuni za kipande/miche . Je , gharama za maligjafi zikoje? Mfano soda ash nk Je, time...
0 Reactions
0 Replies
906 Views
Jamani kuna mkasa umenipata nimeona niuweke hapa ili kama kuna watu wa TRA wausome na waache wizi. Jamaa yangu amenunua gari zake mbili zilizotumika. Gari alizonunua ni Escudo gharama zilikuwa...
0 Reactions
58 Replies
14K Views
Naombeni kwa mwenye kujua jinsi ya kupata TIN Number. Asanteni HABAR WAKUUU, Nnaomba msaada kwa anaejua ni njia zipi nizitumie kupata Tin number ya TRA kwa ajili ya kampuni, nmesajili kampuni...
0 Reactions
173 Replies
68K Views
Nimekuwa na biashara ya kutengeneza chopstick wengine huziita chokstick, nataka niziweke kwenye kifungashio na ziweze kukaa hata kwa mwezi mzima bila kuharibika na pia kupanua soko langu, naomba...
0 Reactions
4 Replies
9K Views
Ajira za kuajiliwa za hovyo sana wakati mwingine. Serikali mishahara midogo sana. Unaenda benki mara 1 umeshakatika kabla hata ya tarehe 30. Moshi mjini kuna kijiwe kinaitwa 'Red Stone'. Kipo...
14 Reactions
121 Replies
15K Views
GOLD (XAUUSD) Dominant Bias: Bearish Gold is bearish in the short-term, and neutral in the long-term. In the long-term, price consolidated throughout November; but in the short term, the last...
0 Reactions
1 Replies
725 Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bullish The bullish bias on EURUSD was challenged last week, as price was pulled towards the support line at 1.1800. However...
1 Reactions
1 Replies
540 Views
Mwanzo mgumu wakuu, na kila jambo linahitaji ufahama kabla ya kulivamia. Niko zangu Mozambique ki maisha, huku niliko nimelifumania chaka linatoa dhahabu sasa nimepanga kununua nakuja kuuza hapo...
2 Reactions
19 Replies
12K Views
Jamani, kunayeyote alihawi kununua hisa za tccia.je muliwahi kupata gawio la hisa au kupata hata taarifa za maendeleo ya uwekezani kutoka kampuni hiyo.natanguliza shukrani
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naamini wanajamvi wazima, nianze kwa kusema maisha ya sasaivi ni magumu bila kuthubutu na kujitoa kwakeli autoki kwenye haya maisha Niende kwenye mada, mimi ni mwanachuo wa mwaka wa pili...
4 Reactions
42 Replies
13K Views
Wadau naomba mnisaidie gharama za kufanya installation za machine ya Peanut roaster machine, peanut peeling machine na peenut butter machine zote kwa pamoja zinagharimu kiasi gani za fedha za...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
wakuu. niliwahi kuandika hapa kuhusu mazingira na sera mbovu za kibiashara kwa sasa Tanzania, hakuna mtu atavumilia kukimbizana na TRA kila leo , wana east africa wengi wataenda kufanya biashara...
2 Reactions
29 Replies
4K Views
Chemba ya viwanda, biashara na kilimo nchini (TCCIA ) imepokea ugeni wa wafanyabiashara kutoka nchini Ufaransa wenye lengo la kujadili na kupanua mianya ya biashara kati ya Tanzania na Ufaransa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wadau, Siku za karibuni nimeanza kufanya biashara za usindikaji, nasindika asali na korosho, ila nna changamoto ya kuwa na barcode kwa bidhaa zangu, naomba kwa anaejua mchakato wa kupata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nataka nisafirishe mbegu za korosho nje ya nchi. Je mbegu ntapata wapi maana nimepata wateja Zambia wanataka hizo mbegu. Naombeni maoni Na ushauri
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu wanajamvi, heshima kwenu. Nataka kujiingiza kwenye hii biashara ya kununua machupa na kuuza kiwandani. Kwa wale wanaofanya au waliofanya nipeni dondoo ya hii biashara. Bei ya kununulia...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Ni rahisi kufanikisha jambo lolote, ikiwa jambo hilo utataanza kulifanya mara moja na kuacha kusubiri. Ni rahisi kujifunza kitu kipya kwenye maisha yako, ikiwa utaamua kweli kujifunza kila siku...
4 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari wana Jf. Naomba msaada kuhusu Benki yenye mikopo yenye riba nafuu. Ni mkopo wa kupanua biashara.
0 Reactions
17 Replies
7K Views
Ni wazo kuu ni hivi kutegemea na soko la ajira kwa wenye taaluma mbalimbali limekua gumu napenda kuwaomba vijana wenzangu tuungane kwa pamoja kisheria tufanye jambo. Kwanza nimeandaa mkakati...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom