Wazoefu wa madini hasa Alimasi msaada tutani

NEXTLEVEL

JF-Expert Member
Jan 19, 2012
857
394
Nini mtazamo wako baada ya kutazama madini haya?
Mimi nadhani inaweza kuwa Diamond au Moissanite nipe mtazamo wako.

IMG_20170827_144255.JPG
IMG_22082017_124950.jpg
IMG_22082017_124947.jpg
IMG_22082017_123308.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaaa hilo ni jiwe tu la mlimani hakuna dini hapo wala nini..
Kama unataka madini migodi ipo mingi tu unaweza kwenda kujaribu bahati yako

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo jamaa yangu yuko mgodi wa dhahabu mkoani so katika kuchimba dhahabu wakatoa hilo so akanitumia wao wanakipimo cha dhahabu pekee ndiyo maana nimesema msaada tutani maana sikuwa na jibu la kumpatia zaidi ya makisio.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseee! kweli maisha yamekaba
Mtu yupo machimboni kimsingi kila anachopata lazima atafute undani na kuhusu maisha usidhani kila mtu yamekaba hilo haliwezekani yakabe kwa watu wote. Maisha nikama pambano la mpira mmoja akishambulia ujue mwingine anakaba so wakati unalia kuna mwingine anacheka.
Epuka mtazamo general.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio mossanite, inaitwa masainite, masainite ni stones zinazopatikana kwa wamasai tu ni kama tanzanite lakini masainite haifikii tanzanite kwa thamani

Acha uongo kaka, kama hauna facts bora usiandike kuliko kusema uongo,
1: Hakuna jiwe au madini Duniani yanayoitwa Masainite
2: Mossanite ni madini yaliyogunduliwa mwaka 1893 na Bwana Henri Moissan, na hilo jina lake la pili ndio likachukuliwa kuwa jina la hilo jiwe, na yeye alipogundua hilo jiwe alijua kuwa kapata Almas mpaka baadae ilipokuja kugundulika vinginevyo
 
Ningekuelimisha zaidi lakini kwa sababu umetumia lugha yenye maudhi ngoja niishie hapa, ukipenda Google "MINE KINGS" uangalie part moja mpaka saba, part mojawapo hapo inahusu masainite
 
Back
Top Bottom