Nina shida, nahitaji mkopo wa haraka haraka

Designer_3434

JF-Expert Member
Dec 4, 2015
4,715
3,671
Husika na kichwa cha Habari hapo juu,

Natafuta mkopo wa haraka haraka, natafuta kiasi cha laki na nusu tu nitarejesha baada ya wiki mbili.

Tafadhali naomba kusaidiwa.

Yesu Anaponya.
 
Toa taarifa za kushota mkuu, upo mkoa gani? maana kama unautaka leo leo you are running out of time sasa hivi ni saa kumi mkuu. Upo sehemu gani.
 
Mimi ningekuwa tayari kukukopesha mkuu lakini upo mbali na nilipo, na hakuna hata msela huko ninae mfahamu angalau nkamtumia huyo. Na pia ki ukweli dunia imebadilika matapeli wengi. Haya ni mazingira (kupotea kwa uaminifu) ambayo tumeyatengeneza kwa mikono yetu, so inabidi tu tukabiliane na outcomes zake. Pole mkuu, natamani nikusaidie lakini nahofia
Ondoa hofu mkuu we nisaidie tu, kikubwa waminifu nitakurudishia tu mkuu.

Yesu Anaponya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom