Serikali angalieni juu ya hawa ndugu zetu wachina

Jun 14, 2017
74
44
Kwa sasa mtaani kumekuwa na shida kubwa juu ya hawa ndugu zetu wachina kwani wanachofanya mitaani si sawa hasa kwa vijana na watoto walio chini ya umri wa miaka kumi na nane , wanasambaza mashine za kamali kama jungu karanga kila kona ya mtaa wameweka mashine zao za kamali sijuwi kama wamesajiliwa au mamlaka zinafaha sasa imekuwa tabu hata kuacha mia mbili kwa meza watoto walisha kwapua , ndugu zetu hebu jaribuni kuwa macho juu ya hili janga jipya la hawa wachina , wanakwenda kuharibu vizazi vyetu , tulifungia pool table sasa limekuja pool machine ......mkuu wa mkoa kuwa macho na hili janga.
 
Waliongelea bungeni waziri akasema wanalipa kodi na mtu halazimishwi kucheza

“Start where you are. Use what you have. Do what you can.”

 
Back
Top Bottom