Kuna hoja tofauti kuhusu uwezo wa kibiashara walionao baadhi ya wafanyabiashara,kwa anayefahamu hili....
Ningependa kufahamu uwezo mkubwa wa kibiashara walionao baadhi ya wafanyabiashara wakubwa...
ndugu zangu mim naomba ku-share na ninyi story hii.
watoto wangu (wana miaka 6 na 4) wamefunga shule . walienda kwa grandparents wakakaa kama wikil mbili. wamerudi Jumamosi. kesho yake jumapili...
JINA LA BIASHARA
Jina la biashara ni kitu muhimu sana, na kuna watu wanaamini kwamba mtu hujieleza kupitia jina lake, Na kuna vitabu vingi sana vimechapishwa na vinavyo elezea maana ya kila Jina...
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu mwka wa pili napenda sana kufanya biashara ila nahofia sana kufanya vivo kwani program ninayoisoma inahitaji kuwa busy sana sasa imekuwa kikwazo kwangu kwani...
Katika pitapita na harakati za hapa na pale huku nikitafiti vitu vidogovidogo nimona mfano wa kitu ambacho ni vizuri Tushiriki katika kujadili na kubadilishana maarifa.
Mzee mwenye mvi na mke...
Mimi kwa majina naitwa Stewart simba nipo mwanza pia ni mwanachuo ktk chuo cha afya tandabui {tihest) nasomea utabibu(clinical medicine )diploma . Lengo la kuandika ujumbe huu ni kwamba nahitaji...
Wakuu kama kichwa kinavyo jieleza ,Mimi Kijana mwenye umri wa miaka 24 nilie maliza Chuo nikichukua kada ya engineering
Lengo.
Ni kwamba nimekua Na idea nying za kibiashara naweza list some...
Wakuu nimekutana na hii asasi ya Kopa Mali foundation mtandaoni ( http://www.kopa-mali.wapka.mobi/site_0.xhtml ) naona kama vile maelezo yao ni mazuri na ningependa kuwa mwanachama lakini...
First and foremost I would like to share with you some gist of Real Estate (A,B,C, Ds in Real Estate Issues).
Due to the deterioration in local economic conditions, such as unemployment because...
Ndugu zangu,
Naombeni msaada wenu, nahitaji mkopo kwa ajili ya kufanya biashara ya Mbaazi soko lipo ila sina mtaji naombeni mnikiposhe million 1.
Nitaweka dhamana vyeti vyangu vya O level na...
Habarini, Nilikuwa Naomba msaada kwa mtu yoyote mwenye ujuzi au taarifa zinazoweza nisaidia kwa kupata mafuta ya nywele kama olive oil, Castor oil, jojoba kwa bei ya jumla.. Nataka kufungua...
Habari Wakuu,
Kuna jamaa yangu yeye ni Mmiliki wa phamasi na ni phamasia by proffesional alikuwa ni mara nyingi amekuwa akinishawishi tufungue clinic ambayo haitakuwa ya kulaza (yaani tuwe na...
Leo naomba niongee na wafanyabiashara hasa hawa wa rejareja. Kuna hii tabia inaboa sana na inatufanya tusijiamini wakati wa kufanya manunuzi kama vile hukujiandaa maana ukijidai kupack kama vile...
Wabunge wailipua tena TICTS wadai inahujumu nchiNa Ramadhan Semtawa
JINAMIZI la Kampuni ya Tanzania International Container Terminal Service (TICTS), limezidi kutawala kufuatia hatua ya baadhi...
habari za siku natumaini ni wazima
kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu
kwanza niseme ni mara chache sana kukuta kampuni au biashara ina toa huduma nzuri sana na kujitangaza sana vyote kwa...
Jemedari yeyote ambaye askari wake wa chini hawamuelewi ni vigumu kushinda vita.
Ili kushinda vita unahitaji mambo mengi,na kubwa kuliko yote ni morali,wasaidizi wako wanafanya kazi za kinafiki...
Sawa na mada hapo juu napenda kuanzisha kiwanda kidogo cha chaki swala la soko lipo. Mwenye uzoefu na hii inshu anijuze jinsi ya kupata mashine nzuri za kisasa, wapi napata material, vifungashio...
wakuu.
kama kawaida serikali ilikurupuka kukataza mazao kuuzwa nje, mkumbuke soko kubwa la mahindi ya Tanzania lipo kenya,
Serikali wanachekesha mno eti walizuia mahindi kutoka nje ndio wakaanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.