Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wanyekuelelwa naomba kujuzwa hili. Unapopita Mtaa wa Toure Drive ukitokea Mijini utakutana na mabango mengi mno yanatangaza huduma zinazotolewa na Benki ambayo haikitajwa katika mabango hayo...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Biashara hizi kutakiwi kujiingiza, kwasababu hata kama huna tamaa. Zinakujengea matumaini na tamaa ya muda mfupi ya Kutajirika. Zina sifa mbili au zote ya sifa zifuatuatazo;- 1. Idea ya...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari za kazi wakubwa Kutokana na kuona watu mbalimbali wakiomba kurushiwa/kupatiwa vitabu mbalimbali vinavyotoa mafunzo na motisha kwa watafutaji wa maisha hususani wale Wajasiri katika...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Jaman Leo nilikuwa na noti mbili za USD 10 , 10 yaani USD 20. Ajabu nimeenda kubadili Mbeya maeneo ya Mwanjelwa pale Century plaza nimeshangaa kukuta wananunua $ kwa Tsh...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadau naomba mwenyevuzoefu wa kilimo, cha matikiti maji kwa arusha kinafaa sehemu gani na itakua sh ngapi kukodi shamba sehemu yenye maji ya kumwagilia nataka nijaribu heka moja au mbili .pia...
1 Reactions
0 Replies
4K Views
Kwanza poleni na majukumu ya kujenga taifa,niende kwenye mada naomba kujuzwa kati ya kuendesha boda boda yako au bajaji ya kwako pia ni ipi hap inalipa zaidi mana nataka nichukie kimoja kati ya...
0 Reactions
1 Replies
725 Views
Naitaji kufanya biashala ya Maji Mimi nimgeni Kwenye maswala ya biashala Naitaji muongozo kwa winye ufaamu wa iyo biashala nduguzangu nina msingi wa milioni1 sijapata frem bado na nipo dar.
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Heshima kwenu wakuu wangu Kama kawaida leo nakuja tena katika jukwaa muhimu kwangu hapa JF. Hakika kuna mambo mengi sana yanayochangia mpaka mtu kuwa na mali nyingi ama utajiri. Ukiachilia...
40 Reactions
106 Replies
24K Views
Ni baadhi ya bidhaa zinazo uzwa kupitia (OMASAM TRADERS LTD)ni oil bora na salama kwa Gari,piki piki,Mitambo,yako Na greases,mafuta ya break Tuna ujazo wa aina mbali mbali kama ifuatavyo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wanajukwaa Salaam, Imani yangu tunaendelea vizur. Nina mpango wa kuanzisha biashara ya kuuza bidhaa mbalimbali za wanawake. Kitu kimoja kinanisumbua kichwa, niiweke hii biashara yangu sehemu gani...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau wale wenye uelewa na hili mnisaidie kufaham, hivi pale unapoachishwa kazi yale malipo anayotakiwa akulipe mwajili mwenyewe huwa yanakatwa kodi? Na je yale malipo ya Sikh huchukuliwa kutoka...
0 Reactions
2 Replies
692 Views
Ndugu wana jukwaa poleni na shughuli na majukumu ya kila siku. Nianze moja kwa moja kuhusu mada iliyo tajwa,Kwa vijana wa kitanzanzia ambao wanajituma kila siku ili kuhakikisha maisha yanaenda...
1 Reactions
4 Replies
5K Views
Imani iwe kwenu wana Jamvi. Kama heading ilivo naomba kujuzwa faida ama hasara za kuendesha biashara kama kampuni maana nimefuatilia nimeona kuna utitiri wa kodi/gharama na uendeshaji kampuni...
0 Reactions
16 Replies
11K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Neutral This pair is bearish in the short-term, and neutral in the long-term. Price has gradually come down since November 27...
0 Reactions
1 Replies
494 Views
Wana jf wenzangu naomba mnisaidie kupata sehemu au maeneo gani ya kuweka huduma za afya ? Nataka sehemu zenye sifa zifuatazo ,nyumba iwe inafikika kwa gari , nyumba iwe na vyumba visivyopungua...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Hivi hawa jamaa wako serious na Product zao maana Ofcoz product zao ni Affordable ila Garantii ni Muda Mchache Hali inayopelekea kua na mashaka na product zao....Wenye uzoefu na product zao...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naomba mwongozo katika kuanzisha biashara ya spare za magari kama option no. 1 n.a. option no 2 ninayoifikiria ni biashara ya construction Hardware 3. Biashara ya kilimo. Naomba ushauri nipewe na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Niwashukuru tu airtel kwa muda wote wa 3month niliovumilia kuwa nanyi am going back kwa wezi wangu voda majuzi walizima internet usiku na walitutaarifu. Wanaupdate/upgrade network zao ziwe fasta...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Kufumba na kufumbua nimefanikiwa kupukutisha acc zangu ndogo za forex. Moja ilikua na $78 ambayo niliikuza kutoka $10 Nyingine ilikua 40 ambayo niliikuza kutoka $5 ndani ya siku 4. Nilifanya...
6 Reactions
38 Replies
6K Views
Baada ya tetesi za muda kampuni ya Apple imetangaza rasmi kuinunua App maarufu ya kutambua muziki ya Shazam. Katika taarifa iliyotolewa na pande zote mbili kulionesha mafanikio yaliyofikiwa kwa...
10 Reactions
34 Replies
5K Views
Back
Top Bottom