Biashara ya mchele Morogoro, Shinyanga

Wasudi

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
226
223
Habari zenu wakuu,

Napenda kuingia katika hii biashara ya mchele kati ya Morogoro na Shinyanga wapi kuna mchele mzuri na wapi kuna unafuu wa bei kipindi cha mavuno? Bei kwa gunia inakuwaje muda wa mavuno? Mavuno yanaanza mwezi gani?

Nisaidieni wakuu.
 
Sijafananisha na mpunga wa mbeya,
Alafu kauliza kati morogoro na shinyanga wapi kuna mpunga mzuri mm nimejibu morogoro kuna mpunga mzuri
Kosa langu hapo lipo wapi hapo?
We vumilia tyuu Mzee baba ndio tulivyo wa bongo
 
Back
Top Bottom