Jamani, sikiliza hivi vitabu nakuahidi vitakusaidia sana.

Hivi vitabu vimekusaidia?

  • Total voters
    4
  • Poll closed .
May 17, 2016
11
14
Vitabu vya sauti (Audio Books) nitakavyokupa mwisho wa hii thread vitakusaidia sana kwenye Biashara na maisha leo leo na utasimulia mwenyewe.

Wengi ni wavivu sana kusoma vitabu,sana sana vitabu vikubwa.na mimi mwenyewe siko tofauti hapo,pengine nastahili kuwa kiranja kwenye kukwepa vitabu vikubwa.
Ila unajua sio lazima kusoma vitabu? Unaweza ukasikiliza.
Tangu nimegundua kua badala ya kusoma vitabu , unaweza ukasikiliza audio book, siku hizi utanikuta nimetulia sehemu au natembea na earphone naingiza tu madini kichwani.

Kama wewe pia ni mvivu kusoma kama mimi, nakushauri jaribu kutumia YouTube kutafuta vitabu vya sauti( Audio Books) na utajikuta umepata madini bila hata kufungua kurasa ya kitabu, na kwa mimi Audio Books ni bora zaidi na njia rahisi zaidi kuretain knowledge.
Sasa kama wewe ni mjasiriamali au mfanya Biashara, Sikiliza hivi vitabu hapa alafu utaniambia jinsi gani vimekusaidia.
Leo nitashare vitabu viwili

1. The magic of thinking big

01 The Magic of Thinking Big - Sounds Network

2. How to sell Anything by Tom Hopkins

Tom Hopkins - How to Master the Art of Selling Anything - 01 - Profession Called Selling - Sounds Network

[HASHTAG]#nimeweka[/HASHTAG] chapter 1 ya kila kitabu.
Unaweza ukasikiliza chapter zingine

Welcome - Sounds Network

Wear your headphones sitback and enjoy!
 
nitasikiliza vizuri usiku, ila tatizo lugha mkuu, kishare vya kiswahili itakua vizuri zaidi, so far thanks
 
Back
Top Bottom