Kibundi wa getto JF-Expert Member Joined Sep 28, 2013 Posts 455 Reaction score 878 Sep 15, 2017 #1 Wakuu kwa anayejua ufanyaji kazi wa hii visacard atusaidie ambao hatufahamu.Nimeiona sehemu lakini sijaambulia chochote kwa undani zaidi. Msaada tafadhali
Wakuu kwa anayejua ufanyaji kazi wa hii visacard atusaidie ambao hatufahamu.Nimeiona sehemu lakini sijaambulia chochote kwa undani zaidi. Msaada tafadhali
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,287 Reaction score 72,512 Sep 15, 2017 #2 Hata mimi nataka kujua..ngoja wajuzi waje
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,627 Sep 15, 2017 #3 Unaweka hela kupitia UBA bank.