Salaam wanajamvi,
Jamani naomba mnipe ushauri kutoka kwenu hasa kwa wale waliofanikiwa kimaisha.
Kwanza naweza sema hapa Tanzania kusoma sana ndo kuukaribisha umasikini tu.
Kijana mimi wa...
Habari wanajamvi,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 33,mwanafunzi wa chuo kikuu huria mwaka wa pili (BED P&M), ninayo familia ya watoto watatu,nimebahatika kujenga na ninaishi kwangu (Dar) japo...
DON'T BE ASHAMED TO START SMALL.
Dont wait till you have so much to start. Remove your pride,start where you can & be passionate & patient with it. Just because you start small does not mean you...
Wakati fulani dunia hii ilikuwa karibu nusu ya simu zote za mikononi
ni NOKIA...walilishika soko la dunia nzima
Hata Iphone zilipoanza ilikuwa inasemwa Iphone wanauza simu za mwaka mzima
ambazo...
Wadau nipo kwenye biashara ya Hardware mwaka wa pili sasa, mwanzo biashara ilikuwa poa mpaka nikawa najisemea biashara ndiyo hii!
Hali imechange sana mwaka huu japo mwaka jana hali ilianza...
Habar wana Jf
Zikiwa zimebakia siku chache tuuage mwaka 2017 naomba ni-share Move kali na nyinyi ambayo nimeitizama bila kuchoka mwaka 2017
THE BOURNE IDENTITY
Hii move imeelezea uhalisi...
Wiki lililopita kunekuwepo na trend ya habari kwenye media kuwepo na msururu mkubwa wa magari yakitikea sehemu mbalimbali kurejea arusha na Kilimanjaro
Watanzania walio na fikra ya kuona...
Wadau napenda kuja mbele yenu kuomba msaada wa namna ya KUINGIZA simu used na mpya toka nje ya nchi km China na Korea .Mtaji ninao wa kutosha ila sijui km makadirio ya TRA yanakuaje kwa simu used...
Habari wakuu nilikuwa na tatizo kuhusu paypal yangu mara kwa mara na-receive refunds kutoka kwa sellers lakini endapo nikienda kuangalia hiyo pesa kwenye Bank account yangu sioni kitu naombeni...
Sijui nilireport hili kwa kwa nani ila naamini wapo wasafiri wengi wana weza kunisaidia;
Kwa wasio jua Swisport, hili nishirika kubwa sana duniani la kutoa huduma mbalimbali kwenye viwanja vya...
Shost alinipa hii kuwa kufanya biashara na wake wa wachungaji ni bingo, kwanza si wababaishaji pesa yako wa kikuahidi J5 itakuwa tayari huwa ndiyo ukweli.
Shost alinunua vitu on line kutoka Amzon...
Katika dunia ya sasa utengenezaji wa mpango wa biashara umekuwa ni lazima na kwa biashara yoyote unayoifanya bila kuitengenezea mipango haiwezi kufanikiwa, leo nimeamua kuanza na baadhi ya mambo...
Wakuu kama muonavyo pichani, kwa wale wataalamu hayo ni madini gani? Ni kama jiwe hivi (gem) ina rangi kama gold hivi au brass inayong'aa sana. lina uzito wa zaidi ya 60gms.
Heri ya sikukuu wadau,
Kwa kuwa mwaka unaisha na kwa kuwa naamini katika kutengeneza fursa naona ni washirikishe moja ya mipango yangu kwa mwaka 2018 tushauriane.
Kwanza kibasa mfahamu hili swala...
Here’s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bullish
This pair is bullish in the short-term, but neutral in the long-term. Price rose from the support line at 1.1750 and...
Wadau wa Jf
Baada ya hali ya maisha kuwa ngumu kwa wengi wetu nimeona ni vyema nianzishe Uzi huu wa kupeana mawazo chanya ya kibiashara kwa maana humu JF ni sehemu ambayo nondo zote makini huwa...
Huu mchezo wa Biko uchezeshwaji wake wanipa utata kidogo hauko wazi kama TATU MZUKA. Kura za Biko hufungwa siku moja kabla ya droo, na hata wakati kina rushwa kwenye TV, kinaendeshwa haraka...
Here’s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bullish
This pair is bullish in the short-term, but neutral in the long-term. Price rose from the support line at 1.1750 and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.