Habarini wakuu
Nimewaza kuanzisha biashara ya vipodozi wakati naendelea kuitafakari na kuzungukazunguka hapa mjini nimewaza kupanga frame then niikate katikat upande mmoja niweke urembo na...
Chuma kinawekwa katika moto mpaka kinaiva kisha anabandikwa mnyama kwenye ngozi. Mifugo ingeweza kutamka maneno nadhani matusi yake yasingevumilika.
Watu wa haki za wanyama-TSPCA mpo wapi?
Hakuna...
Kama ume plan kufanya biashara Fulani then ukafanya hesabu ukakuta inahitaji 1milioni na wewe unakihasi hicho cha Pesa usianze na mtaji kamili cha kufanya chukua laki tano anza hivyo hivyo kwa...
Habari wana jamii
Kama kichwa cha somo kinavyo eleza hapo juu, tafadhali mwenye ujuzi na uzoefu wa mashine za kutoa nakala yaani photocopy machine anisaidie ushauri.
Je ni aina gani ya photocopy...
Habari Wakuu
Nataka kufungua kampuni ya usafi, ambayo itakuwa inafanya usafi katika maofisi, manispaa, mashuleni, majengo ya biashara nk. Naomba mwenye details za kutosha za jinsi ya kusajiri...
Nimepata wateja wa kununua unga wa mahindi nje ya Nchi,naomba kwa wale wanaofanya biashara hiyo,wanijuze utaratibu,hasa vibali ninavyotakiwa kuwa navyo,upatikanaji wake,wapi vinapatikana, wakati...
Habarini jamvini,
Leo ningependa tuongelee kidogo umuhimu wa blogs, websites na mobile apps kwenye biashara.
Biashara nyingi ndogo na za kati hufa ndani ya mwaka wa kwanza hadi mwaka wa tatu...
Here’s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bearish
The market is bearish in the short-term, for price went southwards throughout last week, moving briefly below the...
Habari wana jf,Leo nakuletea utengenezaji wa dawa ya kuondoa madoa kwenye vyoo{stain remover}
Vyoo vingi huwa na madoa yanayoleta uchafu wa rangi za njano ,kijani.Huwa vigumu kuondoa kwa...
Kuna tofauti kubwa Kati ya kuanzisha biashara na kujiajiri..
Watu wengi wamekua wakijiajiri na kuzani ni wafanya biashara... Kuunda biashara ni kazi ya muda mrefu na inahitaji umakini...
Wanajamvi salam kwenu.
Naomba kuuliza kuwa je kama nimetumiwa zawadi ya vitu kutoka nje, je napaswa kulipia kodi TRA? Mfano nimetumiwa nguo kadhaa na Viatu, je ni Kiwango gani kinapaswa kulipiwa...
Habari wadau ni apps gani inayoweza kutoa mkopo kwa njia rahisi na uhakika? Branch na tala hawa hawaeleweki wameweka hizo app watu wadownload ili tu wapige hela.
Kwenye mwezi wa tatu mwaka huu baada ya kujimeki sana niliamua kufungua biashara fulani baada ya vyuma kukaza sana.
Ila changamoto ikaja baada ya kuanza bishara eneo nililopo ikawa tra kila...
Nimekua nikifatilia hii kazi na naona imepata wafuasi wengi wanaotoa mrejesho mzuri,bila wasi inafuta ile hofu ya wanaohoji uhalali wake.
Serikali ya Kenya kupitia Capital Markets Authority(CMA)...
Kwanza napenda kumshukuru Mungu kwa kwa kunipa nguvu na afya kama kichwa cha habari hapo juu kilivyo eleza najua wengi sana huku tunamalengo yetu kuna watu malengo yao yameshatimia na kuna bado...
Wakuu habari za majukumu.
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka.
Nataka nipate mchango wenu ambao tayari wa uelewa wa mambo haya. Kutoka Tanzania mpaka Uganda inaweza kukost kiasi gani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.