Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Kwanza napenda kumshukuru Mungu kwa kwa kunipa nguvu na afya kama kichwa cha habari hapo juu kilivyo eleza najua wengi sana huku tunamalengo yetu kuna watu malengo yao yameshatimia na kuna bado...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu habari za majukumu. Kama kichwa cha habari kinavyosomeka. Nataka nipate mchango wenu ambao tayari wa uelewa wa mambo haya. Kutoka Tanzania mpaka Uganda inaweza kukost kiasi gani...
0 Reactions
1 Replies
835 Views
Nimeshaagiza mizigo mitandao kama ebay na aliexpress kwa mafanikio ila nikiri alibaba nimeshindwa hizi shipping gharama ni kubwa mpaka sielewi wauzaji wanafikiria nini mfano nilikuwa nataka niwe...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Ndugu zangu waweza kua mtumishi wa Umma au umeajiriwa au Huna kazi. Lakini tambua hakuna kazi utakayo fanya ili ufanikiwe hakika. Nunua vitabu vifuatavyo na nikuunge kwenye group la mafunzo mbali...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi kama mtu Ana mtaji Wa shilingi lakini moja kwa sasa anaweza fanya biashara ipi itayo mpatia kipato kwa mda mfupi
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Miaka ile kulikuwa na mavitabu yale ya njano yana namba za simu za watu binafsi, makampuni na mashirika mbalimbali. Ni kwamba watu hawaoni fursa hii au ni kwamba sisi tumeendelea saaana? Hata...
0 Reactions
1 Replies
924 Views
kiukweli kwa mtu yoyote msomi au mtu yoyote ambae yupo mtaani yawezekana akawa anajua hili?? kwangu mimi naona Elimu yetu TZ haimuandai kijana kuja kutegemea taaluma yake kumkuzia kipato bila...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wanajamvi, Nataka kumfungulia saluni dogo aweze kupata riziki ya kila siku hana uzoefu na biashara hii ingawa anapenda. Hivyo Tafadhali mwenye uzoefu a-share nasi hapa kupata ujuzi zaidi...
1 Reactions
7 Replies
15K Views
Wakuu naomba mnijuze kuhusu biashara ya Keki jinsi gani naweza kuifanya kua kubwa zaidi pamoja na Masoko.. Nawakarbisha wote.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habarini wana JF nina mtaji wa sh laki tano (500000) nimefikiria biashara ya kuuza chakula yaan kwani watu wanadai inalipa sana. Ila kwa kua sina uzoefu nayo hivyo nmejikuta nna maswal meng kuhusu...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Nataka kuanza kutengeneza crips (ndizi na viazi) na kusambaza madukani,Je nahitaji vifaa gani ili niweze kutoa crips bora,Je mnanishauri mashine gani itayoweza kuvimenta chap chap na kwa wingi...
0 Reactions
3 Replies
12K Views
Wakuu nataka kuhamishia gari yangu aina ya costa mkoa wa Lindi. Je, biashara ya daladala inalipa huko? Nimesikia kwa siku unalaza laki je ni kweli? Naomba wakaazi wa Lindi wanipe ufafanuzi wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
nahitaji kufanya biashara ya uuzaji wa nguo za kiume ..ni mtaji kiasi gani nahitaji kuwa nao!? je ni wapi naweza pata mzigo mzuri
0 Reactions
1 Replies
829 Views
Habari za siku nyingi wapendwa wangu. Ni mda mrefu sijaingia kwenye mtandao huu takribani miezi mitatu kama sikosei, naamini kuna vitu vingi vitamu ambavyo vilinipita bila mimi kuvipata. Ok; acha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tanzania like Kenya has the save fiber network but in Kenya access to faster internet is cheaper which has allow for companies to have their offices in Kenya while Tanzania has lag behind. There...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana Jamii...!!! Ninayo imani kubwa na jukwaa hili kutokana na manufaa mbalimbali tunayoyapata hasa katika kupata taarifa za muhimu zinazohusu shughuli zetu za kila siku. Wa-ndugu nipo katika...
1 Reactions
41 Replies
8K Views
Habari zenu wana JF.. Nimepatwa na uitaji wa pesa ya kiasi cha Tsh 1.7mil kwa mwenye uwezo wa kunisaidia hiyo pesa dhamana ni kiwanja... Number yangu ni 0656143546. Asanteni..
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nimesikia kuwa katika kuondoa matumizi ya mercury yanayopigwa marufuku na serikali ktk machimbo ya dhahabu, wachimbaji wadogo wamegeukia borax ambayo inafanya kazi kama mercury. Eti hii ni kweli...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Wakuu tubadilishane mawazo hapa Tusio na mitaji huwa tunakuwa na mawazo mazuri sana ya kibiashara. Kwa mfano, mimi napenda sana kuagiza shela za harusi kutoka China na Dubai kwakuwa bei zao zipo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama tunavyojua biashara ni matokeo ya kusuluhisha changamoto zinazojitokeza katika maisha ya kila siku Katika changamoto hizi ndipo unapogundua kuna jambo la kufanya kukuingizia kipato. Haya...
9 Reactions
24 Replies
7K Views
Back
Top Bottom