Fursa zangu mbili za biashara nikizoziona nahitaji msaada wa mawazo

nashukuru mzima

JF-Expert Member
Jul 11, 2017
1,014
1,896
Habaru wakuu...

Kuna fursa mbili hapa naziona hapa kwa Mimi kijana ambaye kwa sasa nimeamua kujikita katika masuala ya biashara ila Mara nyingi kabla sijaanza biashara uwa nakuja jf kwa ajili ya kupata uzoefu wa wadau wa biashara waliopo humu ndani

1..Uuzaji wa nguo na T-shirt printing hii biashara naona hiko pia sana hasa kwa upande wa mjini naona watu wanapendeza sana kwa hizi t-shirts za kuprint naombeni msaada nijue naanzia wapi juu ya fursa hii nisije nikaingia kichwakichwa najua humu ndani kuna wadau wengi wanaojua masuala haya...


2..kuna issue ya stationery hapa naongelea kwa masuala ya business card,printing,na mengineyo wakuu hapa naanzaje kwa mtu ambaye anahitaji kuanza shughuli hii msaada wenu
 
Kama una ntaji mzuuuri nadhani ni rahisi sana kwann
Kwanza printing inahitaj mashine moja na kijana ambaye ni designer mzuuuuri ambaye atafanya ww uwe na pesa ndeeefu
Pia kwa stationary mtaji wakuanzia ili iwe nzuri ni 10m according to location unapenda but for town areas utapata pesa maladufu mkuu

Pia hapo uwe na personell ya maana ili utusue au ww menyewe (mwenyewe)
Nawasilisha hoja
 
Back
Top Bottom