Nimeamua kuacha kazi, nafanya biashara

bab-D

JF-Expert Member
May 2, 2015
1,207
301
Kushirikishana sio vibaya, toka nimeajiliwa huu mwaka wa nane sasa, sijawahi pandishwa dalaja. Nina mradi wa kuku na biashara nyingine ndogondogo tatu, nikijumlisha mapato yake ni mara mbili ya mshahara ninaopata, pia kazini nabanwa sana mda naona nikiacha kazi nitaboresha biashara zagu na kupanua zaidi, ngoja nisubiri mwezi wa saba asipoongeza tu naiaga ajira sioni faida kabisa.
 
Kuajiriwa sio dili mkuu wala usisubiri hata ongezeko achana nayo hiyo kazi.
 
kushirikishana sio vibaya, toka nimeajiliwa huu mwaka wa nane sasa, sijawahi pandishwa dalaja.nina mradi wa kuku na biashara nyingine ndogondogo tatu, nikijumlisha mapato yake ni mara mbili ya mshahara ninaopata, pia kazini nabanwa sana mda naona nikiacha kazi nitaboresha biashara zagu na kupanua zaidi, ngoja nisubiri mwezi wa saba asipoongeza tu naiaga ajira sioni faida kabisa
Umechukua uamuzi mzuri sana mkuu. Kuajiriwa ni UTUMWA!
 
nikijumlisha mapato yake ni mara mbili ya mshahara ninaopata.Ngoja nisubiri mwezi wa saba asipoongeza tu naiaga ajira sioni faida kabisa

Kama Serikali itaongeza mshahara, sidhani kama watazidisha zaidi ya 8%. Wewe anza tu maandalizi ya kutoka hapo kama kweli umeamua kwa dhati.
 
kushirikishana sio vibaya, toka nimeajiliwa huu mwaka wa nane sasa, sijawahi pandishwa dalaja.nina mradi wa kuku na biashara nyingine ndogondogo tatu, nikijumlisha mapato yake ni mara mbili ya mshahara ninaopata, pia kazini nabanwa sana mda naona nikiacha kazi nitaboresha biashara zagu na kupanua zaidi, ngoja nisubiri mwezi wa saba asipoongeza tu naiaga ajira sioni faida kabisa
Hadi uache ndo niamini
 
kumbuka mtaani soka la kuku limeshuka sanaaaaa... watu wanakula mboga mboga tu siku hizi... ila Hongera kwa ujasiri mkubwa!!
 
Usiache kazi piga hivohivo kibishi.. serikalini mbona mteremko tuu chengachenga zinaruhusiwa.
 
Usiache kazi piga hivohivo kibishi.. serikalini mbona mteremko tuu chengachenga zinaruhusiwa.
huu ushauri unaukweli kiasi flani hivi, ngoja niufanyie kazi mwezi huu mmoja nikisubiri nyongeza
 
huu ushauri unaukweli kiasi flani hivi, ngoja niufanyie kazi mwezi huu mmoja nikisubiri nyongeza

Ofisi gani hiyo ya serikali unayo banwa? Unless Kama haupo vizuri na boss wako. Kutoka saa 9:30 na kuna uhuru mwingi tu serikalini labda Kama wewe hujui namna ya kuishi na wenzio

Kumbuka kuwa jambo la msingi sio kuto ajiriwa bali ni kuwa na vyanzo vingi vya mapato na ajira ni moja ya chanzo cha mapato. Kwahiyo as long as biashara zako zimeanda vizuri mpaka sasa huku ukiwa kwenye ajira sioni sababu ya wewe kuacha kazi. Ukipata watu waaminifu kwenye biashara zako hamna haja ya kuacha kazi
 
Back
Top Bottom