RGforever
JF-Expert Member
- Apr 3, 2011
- 6,878
- 5,424
Hello Wana JF hebu Leo Ngoja Nami Niweke Mawazo yangu Hapa Kuhusu Biashara kidogo Maana Nishapitia Huko na Ninanendelea
Huwezi Kufanya Biashara Na Ukatoka Kama Utakuwa unapitia Katika Bullet hizi
1. Kuiga Biashara
Watanzania wengi Tunafanya Biashara za Kuigana ukiona Mwenzako amefungua Kitu fulani Basi Na wewe Unaenda Kuiga Hivyo Hivyo na Kibaya Zaidi Unakaa karibu yake Ili Mgawane Wateja. Hujui mwenzako kaanzaje na Anampango gani Na Hiyo Biashara seme Tu kwa Vile Umemuona Anapata Wateja Wengi nawe unaona inalipa Unajiingiza Kichwa kichwa Mwisho wa Siku unaishia kifunga Kibanda Chako Unamuacha Jamaa Anaendelea kupiga Biashara
2. Kufanya Biashara sawa sawa Na Wengine wanavyofanya Bila Kuleta Kitu kipya Sokoni.
Tena Hapa Ndo watanzania tunakosea Sana, unakuta Tuseme mfanya Biashara anauza Samaki kwa Kupanga Chini Na Wewe naye Kwa Wivu wako, unaleta Biashara yako Unapanga Vile Vile Kama Jamaa halafu Unategemea Kesho Uitwe Millionaire. Huwezi maana Kwanza Watu wengi hawajakuzoea ,pili huna Jipya Sokoni la kuwafanya Watu wanunue kwako
3. Unafanya Biashara Ili Uishi(upate hela ya Kula)
Huu ndo Mtindo wa Maisha Yetu watanzania tunafanya Biashara ili tuishi na Tupate hela Ya Kodi na watoto which is Good. Ila Biashara haitaki hivyo Biashara inataka Uwe umeshajitosheleza Mahitaji yako kwanza Ndo Yenyewe itakutosheleza ila Ukiitegemea Yenyewe itakuangusha
4. Ukishaona Una Wateja Wengi Unabweteka
Wafanyabiashara wengi wanabweteka wanapoona. Wateja Ni wengi kwahiyo wanaona Tayar wameula Kimaisha... Wanasahau kuongeza Wafanyakazi kulingana na Wingi wa Wateja... Wanasahau kuboresha maisha Ya Wafanyakazi wao wanasahau kutafuta Mbinu mpya Na Kikubwa zaidi wanajisahau ku invest zaidi Ya pale walipo
5. Hakuna Utafiti Katika Biashara yako
Wafanya Biashara wengi wanaangalia Eneo kuwa Aisee hili eneo watu wengi wanapita ngoja Niweke Biashara Yangu akishaweka Anaona Atapata Wateja Ila Inakuwa kinyume Chake... Kabla Hujaweka Ni vyema ukafanya hata Utafiti kidogo je watu wa Eneo hilo wamepungukiwa na Nn ili ukiweka Ww Ndo Uwe wa Kwanza Kukitoa Na Kama Kipo Basi Uwe na Mbinu Mpya Ya Kukifanya Tofauti na uliowakuta