ATM za mabenki zimekuwa deal kwa kuweka 5,ooo

Habari,
Limezuka deal kwa mabenki kuweka noti za 5,ooo kwa wingi ili watu watoe hela mara nyingi na benki kuvuna hela ya kutolea.

Hii siyo sawa kwani noti za 1o,ooo ikiwa unatoa 1mln utatoa mara tatu tu lakini noti za 5,ooo utatoa mara 5
Tumelipigia kelele sana hili swala lakini hakuna hatua inayochukuliwa,sijui BOT wanafanya kazi gani kucontrol wizi huu kwa wananchi,Mabenki yote wanaweka Ths 5000 tu ili ukitoa 1m ulambwe karibia 4000 ambao ni wizi wa mchana kweupe.
 
Hata ndani washakua na haka katabia kuna siku nimeenda kuchukua nilizotumiwa kwa western Union nilipewa 5000 nikawaza naendaje nilikokua naenda
 
ila mm cjawah bahatika kupata 5000 benk huwa napata 10000 tu
 
Sasa kama umeomba itoke laki4 , si itatoka laki4 iwe ya elfu5 au elfu10
 
Habari,
Limezuka deal kwa mabenki kuweka noti za 5,ooo kwa wingi ili watu watoe hela mara nyingi na benki kuvuna hela ya kutolea.

Hii siyo sawa kwani noti za 1o,ooo ikiwa unatoa 1mln utatoa mara tatu tu lakini noti za 5,ooo utatoa mara 5

Hivi nyie huko bado mnaweka hela bank.
 
Kwa iyo una confim laki 4 wao wanatoa laki 2?
Limit ya kutoa fedha kwenye ATM inawekwa kwa idadi ya noti.Hivyo kama unataka utoe laki 4 maana yake ATM itakupatia noti 40 za elfu 10 ambazo utakuta ndio kiwango cha mwisho cha juu,Sasa ikiwa zimewekwa noti za elfu 5 tano tupu inamaanisha idadi hiyo ya fedha itahitaji noti 80 za elfu 5 tano idadi ya noti ambayo huwezi pata kwa kuwa ni juu ya limit .
 
inamaana option ya laki 4 haitakuwepo kama kuna elfu tanotano tuu
 
Back
Top Bottom