nsa ji
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 325
- 292
Jamani ninaomba msaada juu ya haya maswali yanayonitatiza.
1. Je mabango ya piashara yanapaswa kulipiwa kodi?
Kama ndio,
2. Ninaomba kujulishwa juu ya Mchanganuo wa gharama zake.
3. bango lenye Sura/pande mbili hutozwa zaidi ya lile lenye sura/upande mmoja.
4.Vipi kuhusu matangazo ya Radioni na Luninga, kodi yake hulipwa na nani?(mmiliki wa chombo Cha habari au mteja)
Nashukuru Kama nitasaidiwa.