Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari wana Jf Nimekuwa na malengo ya muda mrefu nahitaji kuanzisha biashara ya kusapray bidhaa kwenye maduka ya rejareja Bidhaa kama mafuta ya kura, sukuri, na betri Hizi biashara nimekuwa...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Mimi siyo mchumi wala sijasomea mambo ya biashara ila kwa trend ninayoiona namna tunavyoenenda, kuna haja ya kuunda chombo cha kuwashauri wote SEKTA BINAFSI na SERIKALI kuhusiana na mambo ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu, nimepata jamaa yangu Yuko ulaya na anataka kuniletea mitumba Kama biashara. Tatizo Sina uelewa na biashara hii na pia yet hajui kitu hivyo anataka maelezo toka kwangu. Anataka kujua jinsi...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Salaam bosses! Naomba kwa mwenye uelewa namna ya kupata Swift code ani/atueleweshe( in case kama kuna mwenye tatizo kama langu) Ni kwamba nimejaribu kujaza taarifa zangu kwa usahihi ili kufungua...
1 Reactions
4 Replies
6K Views
Habarini wanajamvi....ninawazo wa kuanzisha biashara ya kusambaza nyavu katka Maziwa makuu nchini je biashara italipa.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Enyi wanakisarawe hii wilaya yenu vipi. Yaani mnazidiwa hata na chanika mwisho kwa mishemishe pamepoa saana.
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Nina mpango wa kuanzisha kampuni ya ulinzi taratibu zote nazijua isipokuwa nataka nijue natakiwa kuwa na pesa ngapi kama mtaji ili lengo langu litimie? Karibuni wadau wakati ndo huu.
0 Reactions
6 Replies
6K Views
MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BANDARI TANZANIA (TPA) TANGAZO: MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BANDARI TANZANIA (TPA) INAPENDA KUUTANGAZIA UMMA KWAMBA, KUTAKUWA NA MNADA WA HADHARA KATIKA BANDARI YA MTWARA...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Za sahivi wana jamii, Kama kichwa cha habari kinavyosema... Naomba mwenye kujua riba na taratibu za mikopo kutoka bank ya posta. Mimi mtumishi nataka mkop wa mshahara. Asanteni.
1 Reactions
13 Replies
18K Views
Dar es Salaam. The Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) fell four positions in Africa Financial Market Index 2018 ranking. The index was published by South African Absa group. The AAFMI 2018 has...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habarini jamani... Naomba mwenye source ya historia ya kiwango cha kubadilishia fedha TZSH vs USD hasa kwa mwaka 1961 tulipopata uhuru anisaidie.., nime-google mpaka nimechoka. Kwa mfano, kwa...
0 Reactions
11 Replies
11K Views
Habari za sasa hivi wanajamvi poleni na majukumu ,mimi ni kijana wa kitanzania mwenye ndoto ya mafanikio na wanasema mafanikio hutokana na jinsi ambavyo tutamia fursa ,mimi kwa upande wangu ni...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Naangalia hapa hizi tuzo za tanzania top 100 campanies mpaka sasa wengi wa wamiliki wa hizi kampuni naona ni masingasinga, naona hizi tuzo watanzania tumetupwa nje inabidi tujipange miaka ijayo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu habari za majukumu..Ukiachilia mbali taaluma za kila mmoja lakin natumaini ni ngumu kufikia malengo yako kiuchumi bila kuwa na Plan B Mim ni mwanafunzi wa chuo kikuu kimoja wapo hapa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Tokea nianze kupata ufahamu mwishoni mwa miaka ya 80 mpaka mwanzoni mwa miaka ya 2000, sikuwahi kuona mtu anakula tikiti maji wala mimi kula... Je Tunda hili limepata umaarufu kwa ajili ya nini ...
8 Reactions
53 Replies
6K Views
Habarini wana JF Mimi ni kijana wa miaka 20. Nilimaliza form 6 mwaka huu combination ya PCB nikapata div II. Ni kwamba hali yangu imekuwa ngumu mno hasa ktk kipindi hiki cha chuo kwa sababu mzee...
2 Reactions
33 Replies
3K Views
Ikiwa bado watanzania wakisuburi hatma ya mazungumzo kati ya serikali na kampuni ya uchimbaji madini ya Barrick yenye makao makuu yake nchini Canada, kampuni hiyo imeanza kujinasua, hali...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu jamani.naomba watumishi mnijuze kama tayari shimo limetema. Nilijichanga changa nikanunua kagari ka biashara sasa kamepata hitilafu kamekomba hela zangu zote.nategemea tu mshahara...
4 Reactions
35 Replies
6K Views
Nimefungua saloon miezi miwili nimekaa mwenyewe nimepata zaid ya laki 3.. Cha Ajabu wiki ilopita nimemweka mtu mimi nilisafiri narudi sikuti hata Mia,, Lengo langu nifanye biashara nyingine...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Habari za mda huu ndugu zangu naombeni kuuliza ka waha Tanzania kwetu kuna benki yoyote ambayo haina makato ya kila mwezi na kama ipo ni ipi ili nikafungue account na mm niwek kihakiba changu...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Back
Top Bottom