Zijue nchi ambazo kwa sasa ndizo zinaongoza kwa kuwa na mazingira mazuri ya Kufanya Biashara duniani
1. New Zealand
2. Singapore
3. Denmark
4. Hong Kong
5. Korea
6. Georgia
7. Norway
8. US
9. UK...
Naamini ni wazima wote humu ndani, leo naleta taarifa yamkini baadhi yenu wameijua hii
lakini siamini kama kila mtu anaijua hii news, kabla ya kuelewa vibaya sifundishi what is bitcon au
how to...
Baada ya kupata mwanga kuhusiana na Epson printer, Sasa ni wakati wa kuagiza mzigo unifikie.
Kwa mujibu wa Jumia, Printer waliyo nayo ni mpya kabisa yenye Bottles 4 zenye wino wa kutosha...
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo nchini (TADB), Japhet Justine amesema benki hiyo imejipanga kuhakikisha uzalishaji wa maziwa unaongezeka hapa nchini ili kutoa fursa kwa...
Nina mkopo wa nmb ambao umebaki kiasi cha tzs 2,031,474.10 ambapo niliamua kwenda crdb kuona kama wanaweza kununua deni hivyo nilifika na afisa mikopo alinipigia hesabu akanambia naweza kupata tzs...
Five Kenyan youth have come together to set up a rain Water Harvesting Solution for Arid and Semi-Arid Land (ASAL) areas.
The project, which has won accolades from international community is...
Nafikiria kuanza kuwa nazungukia Ofisi za Taasisi mbalimbali nchini Tanzania hasa zile zenye ' Mabosi ' wakubwa wakubwa ( CEO's ) na ikibidi hata na Viongozi wa Serikali na Kitaifa ili niwe...
Bitcoin flirted with $17,000 on Thursday, triggering a warning the cryptocurrency was like a “train with no brakes” and prompting fresh concern about its looming launch on mainstream markets...
Habari zenu wakubwa ninatafuta partner wa kuingia nae mkataba, maana nina ujuzi kichwani wa kuwekeza kwenye sector ya ICT lakini sina pesa ya kuanzia nakuhakikishia kabisa faida ipo ndani ya mwezi...
Umefika muda sekta ya Vicoba itungiwe sheria ya kuwasimamia na kupewa chombo maalum cha kuwa mwangalizi wao kuliko ilivyo sasa haijulikani wapo wizara gani kati ya wizara ya fedha na mipango au...
Nianze kwa kuwasalimu nyote humu JF..Hakika JF ni kisima cha maarifa ambapo wote twajifunza vitu vingi humu,kwakufahamu hilo ndio sababu ya mimi Kuandika yangu machache siku ya leo
Ulimwengu wa...
Nimepewa bitcoin address,naitaji kudhibitisha malipo,ila sielewi namna gani ya kuituma,mwenye uelewa na bitcoins anisaidie,ntakulipa nikifanisha transfer
Ni Pm nikutumie hiyo address
Habari zenu wakuu!
Kuna siku nilipata wazo la kuongeza mtaji katika biashara yangu ikanibidi niende katika microfinance company moja hivi.
Baada ya kufika nikawaelezea kuwa nahitaji mkopo, ila...
Makamu wa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa watanzania kumuenzi Baba wa Taifa Hayati Mwl. Julius Nyerere kwa kuwekeza katika viwanda kuwezesha taifa kurudi katika uchumi wa...
Habari wakuu
Rejea kichwa cha uzi hapo juu.
Mimi msichana nimemaliza chuo ambapo mpaka dakika hii ajira zimekuwa ngumu kiasi kwamba nmekata tamaa ya kutimiza ndoto zangu za kuajiriwa...
Mimi nimekuwa nikifanya biashara muda mrefu,nataka kuachana na biashara ili niangalie mambo mengine. Sasa nawezaje kuachana na hii leseni ya biashara na tini namba?
UTANGULIZI.
Masuala yanayohusiana na uhasibu yanachukuliwa na watu wengi kwamba yanaboa au hayaeleweki kutokana na kuhusisha hesabu ambazo kwa upande wangu naweza kusema huwa hazifundishwi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.