si mzuri sana katika kuandika vichwa vya habari na kwa hapa naomba nikiri lile swali la kwanza enzi zetu la kiswahili nililiruka sikuwa mzuri kwa upande huo hivyo mnaweza kunisahisha ili wakati...
Habari wakuu...najua hapa kuna watu ambao tunaweza kusaidiana kimawazo kufikia malengo...nilitaka kujua wadau kufungua duka LA nguo za wanawake kwa sasa serikali inatakiwa kulipa ushuru kiasi gani...
Nimekutana na baadhi ya wadau wa hotel kubwa kubwa hapa Arusha pamoja na Tour operators wanasema utalii umeongezeka kwa kasi katika msimu huu ulioanza mwezi wa sita 2018. Na sababu kubwa ni...
Hakika nawaza sana Maisha ya nyuma na ya sasa hapa Tanzania kuhusu swala la umeme,mabadiliko ni makubwa mno,mbali na hitilafu za kawaida kama Transformer kuungua na nguzo kukatika , swala la umeme...
Habari wana jamii forum kwa jina naitwa Herman niko mwanza elimu yangu n kidato Cha 4 na nimesoma chuo cha mipango. Nia ya kuandika Uzi huu nilikuwa na wazo la biashara ya accessories za simu na...
Kama kichwa kinavyojieleza, nimekuwa kwenye ajira mwaka wa pili, nimeona biashara zinalipa, haswa kilimo biashara, nahitaji ushauri na jinsi ya kupata masoko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu habarin za jioni..naombeni ushaur na maelekezo ya kitaalam coz naamin wataalam wapo humu...inshu ni hvi nataka nifanye biashara ya kupiga muziki kweny matukio kama sherehe madisco n.k sasa...
Salaam wakuu.
Nimekuwa na wazo la kuanzisha utengenezaji wa mishumaa iliyowekewa dawa inayofukuza mbu. Nimefuatilia baadhi video youtube zinazoonyesha namna ya kutengeneza mishumaa nikajifunza na...
Nina wazo la kuanzisha "factory" ya kutengeneza Pencils. Eneo ninalo, Nyololo, Iringa.
Najaribu kutafiti ni aina gani za Machine na VIFAA vya kufanyia uzalishaji... Pia upatikanaji wa Raw...
Habari wenzangu, jana nimechelewa kidogo kuangalia kikao cha diaspora na waziri wa katiba na sheria mh. Prof Paramagamba Kabudi, ila nikasikia diaspora mwanzoni kabisa walikua wameainisha fursa...
Habari wandugu!!
Naomba kama kuna yeyote aliye maeneo au ana contacts reliable za kibiashara hasa Mbao na mazao mengine kama Korosho kutokea ukanda huo wa Mtwara Wilaya ya Nanyumbu. Tuwasiliane...
Habari Wadau!
Naomba msaada kwa yeyote anaefahamu ni bidhaa gani zinazosafirishwa kibiashara kutoka Tanzania kwenda Nchini Italia..iwe Mazao au Chochote anachokifahamu. Natanguliza Shukrani zangu...
Ndugu wana JF mnanishaurije nahitaji anzisha service ya udalali (kampuni ya kuuza, kupangisha n.k) vipi mazingira ya dar yanaruhusu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari ndugu zangu JF?
Kutokana na ugumu wa upatikanaji wa ajira, nimekuwa na wazo la kujiajiri kwa kuzingatia taaluma yangu na ujuzi kiasi katika masuala ya sheria ya kodi na usimamizi, na pia...
Nimeona press release ya Kenya Revenue Authority (TRA ya kenya) kuhusu kucharge VAT kwenye bidhaa za mafuta.
Wachumi, wataalam wa biashara hili suala lina effect ipi kwenye uchumi?
Je tunaweza...
Wakuu Salama,
Nahitaji kusajili kampuni ambapo ntaanza na mimi kutafuta tenda au kazi ndogondogo(digital marketing) kutoka kwa makampuni madogo madogo au watu binafsi.
Nakwepa kutumia makampuni...
Habarini wakuu
lengo langu kubwa ni kuwafikia wateja walipo kwa bei ile ile ya kariakoo, kuwasaidia wafanya biashara wanaotoka mikoani na kufata mzigo, mtu mmoja mmoja anayefuata mahitaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.