Za leo ndugu zangu,
Naitwa Thandiwe, ni mkazi wa Dar lakini kwa sasa nipo mkoani. Kiukweli hali ya maisha imekuwa ngumu hatukatai ndugu zangu hasa sisi tuliopo mikoani kwa sasa ila kiukweli, kuna...
Habari wapishi na walaji.
Nina wazo la kuanza kuuza hizi pilipili kwa ku TENGENEZA na Kupaki. Kwa yule anaefanya hii biashara au mwenye ujuzi wa Kuandaa hii kitu anipe maujuzi jinsi ya...
Kuna mwanamke nimekutana nae facebook
Alianza kwaniuliza naishi wapi, nafanya kazi gani nikamwambia,
Nae akasema anafanya kazi ya kutoa taarifa na kulipwa
Katika kampuni moja linaloitwa EDMARK...
Kwanza kabisa napenda kuwapongeza sana NMB kwa kuleta huduma hii ambapo mfanyakazi anakuwa na uwezo wa kukopa mpaka asilimia 40 ya mshahara wake(take home bila shaka)
Huduma hii ya mkopo ambayo...
Samahani nauliza kuhusu biashara ya gas kwa matumizi ya nyumbani.Ni vigezo vipi vinahitajika mpaka mtu awe wakala wa usambazaji wa bidhaa hii. Mfano wa makampuni ya Orxy gas,Majimas gas nk.
Nchi ya Kenya imekuwa kinara wa uchumi kwa muda mrefu kwenye ukanda huu wa EAC lakini hali yake inazidi kuwa mbaya kadri ya siku zinavyozidi kusogea ukilinganisha na majirani zake ambao wanakuja...
A Sri Lankan parliamentarian has alleged he was offered a $2.8 million bribe to switch his allegiance and support the country’s new government as the island nation’s political crisis deepens...
Hello wana jf wenzangu. Nahitaji kufungua ofisi ya kutoa mikopo midogo midogo kwa wafanyabiashara waliopo mkoa naoishi. Je ni taratibu zipi natakiwa nifuate ili kukamilisha ofisi yangu bila...
Naomba kuwashirikisha hii fursa, kwangu nina kisima kirefu chenye maji mazuri sana yaani yamepoa hayana test ya chumvi kabisa. Nimeona kuna fursa kubwa kwenye biashara ya kuuza maji, kama yupo mtu...
Ndugu wana JF nawasalimu,
Baada ya salam husikeni na kichwa cha mada,
Kama kinavosema nina shida ya kupata mkopo na nina dhama ya biashara na kiwanja na pia ninaishi kwangu yaani sijapanga...
Ndugu zangu humu jf nnajua humu kuna watu wa aina tofauti maboss wa mawizara na mabenk naomba muongozo wenu Mimi nikijana nimemaliza chuo tangu 2011,kwa kweli tangu nimemaliza chuo sijawahi kupata...
Habari za kazi ndugu zangu. Mimi hapa ni muhitimu wa chuo nimekuja kwenu kuulizia ni taasisi gani ya kibenk inayotoa Mkopo wa bajaji au gari aina ya carry(kirikuu) kwa kuwa ndio biashara ambazo...
Natamani sana kutoka kimaisha, niliplan kufungua biashara yangu flani hivi hadi kodi ya nyumba nikalipia ila nikakwama ikabidi ile frem niiuze ili nisipoteze hela zote bure, kuna biashara ingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.