Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Mimi ni mwanafunzi wa chuo cha kodi IFM, Naomba kufahamishwa tu ni jinsi gani mitandao au internet kiujumla inaweza kunisaidia kutengeneza pesa na sio kuwa vyanzo vyangu vya udaku?. Natumia...
0 Reactions
51 Replies
14K Views
Wanajamvi habari zenu. Naamini mko vyema na mnaendelea kupambana. Kuna hii ishu huwa naifikiria sana. Mtaani kuna vijana huwa wanapita na spika wakitangaza kununua pesa mbovu na dola na pesa...
0 Reactions
3 Replies
971 Views
Wana JF nisaidien kupata jibu la swala hili mfano, wewe unaishi kwenye nyumba ya kupanga, mambo yamegoma ukalimbikiza deni la kodi ya miezi 3 sawa na Tsh 300,000/= . Mwenye nyumba akakupa siku...
1 Reactions
38 Replies
3K Views
Habari wana JF,ningependa ku share ideas na watu wenye uzoefu na biashara, katika biashara kikubwa kinachoangaliwa ni faida , kwa watu wenye uzoefu na biashara mbali mbali nilikua naomba kuuliza...
0 Reactions
55 Replies
23K Views
Ninataka kujua wana wajumbe nchi kuchoma pesa ya nchi ingine kwa madai ya kulinda pesa ya nchi dhidi ya nchi ingine...wanauchumi na wataalami Wa mambo ya fedha na utawala hebu lidadavueni hili
1 Reactions
1 Replies
651 Views
Habari zenu wakuu, Mimi ni kijana wa kiume nina umri wa miaka 28, nina elimu ya shahada ya kwanza katika sayansi ya chakula na teknolojia kutoka SUA. Ni hivi tokea nimalize masomo nimeangaika...
3 Reactions
9 Replies
5K Views
Niko na plan za kwenda kuinunua hii simu hivi karibuni, kwa wasifu nimeifuatilia inanifaa kwa matumizi yangu na ni latest kwa namna navyotaka! Nilikuwa nahitaji taarifa za bei halisi ya hii simu...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Ndugu zangu rejeeni mada tajwa hapo juu naomba kupata msaada kwa wale wataalamu wa mapambo ninataka kuanzisha biashara hiyo ningependa kupata muongozo wa jinsi ya upatikanaji wa vitambaa rangi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waafrika bado tupo nyuma kimaendeleo kwasababu hatuna foundation. Nani aliyesababisha? ukisoma history utajua tatizo tulikuwa watumwa wa wazungu. Wazungu hawakujenga shule nyingi wakati walipokuwa...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Wazo la kuwa na kampuni ya private pension, wanachama wanapata malipo yao mara baada ya kustaafu. Kushawish waajiriwa na wafanyabiashara kujiunga. Hata wale wenye pension kwenye mifuko mengine...
10 Reactions
32 Replies
3K Views
Shirika la Etihad airways lilikuwa na safari za kuwaleta wageni Tanzania, je wamesitisha safari zake lini? Kwanini wamesitisha safari hizo? Je, yapo mashirika yaliyositisha au kupunguza safari...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Umofia kwenu!! Nataka nimuanzishie Uncle wangu biashara ya kuuza slippers, mzigo anachukua Karume na kuuza pale Makumbusho! Naombeni Mwenye uzoefu tafadhali atupatie changamoto zake. Asanteni...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ok
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Salaam wakuu, Naomba kujuzwa zao LA biashara linalojiuza sokoni bila kumpa stress mkulima,itapendeza zaid likiwa linastahimil ukame na la muda mfupi.Kama kuna mchanganuo pia kuhusu...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Wadau hakuna Branch inayoongoza kwa kusumbua wateja DSM kama branch ya Lumumba mkabala na stendi ya mnazi mmoja. Huduma ya mikopo wamekuwa wasumbufu mno, kiasi cha kukatisha tamaa. Wanajinadi...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Nataman kununua baadhi ya bidhaa zilizo achwa na watu kwenye vituo mbali mbali vya police Msaada please
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa muda mrefu serikali inajitahidi kupambana na usafirishaji wa pesa haramu kwa hili ambazo hazipiti kwenye dola yetu. Kwa zaidi ya miaka kadhaa barabara ya 11 pale Tanga watu wanauza fedha za...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mimi ni kijana wa miaka 16 ndo nimemaliza elimu ya kidato cha nne ndio nasubiri matokeo hapo mwezi January,lakini wakati nasubiri matokeo nilwapa wazo wenzangu la kufungua Eatery,sasa shda inakuja...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wanajamvi naombeni msaada kwa anayejua ni taratibu gani zinatakiwa kufuatwa kwa mtu anaye taka kuwa wakala wa bia au soda na je faoda yake inapatikanaje?
0 Reactions
6 Replies
8K Views
  • Closed
Nilitoa maada kuhusu Wizi wa CRDB na nimesoma reactions za wana JF. Nimepata furaha sana kwa sababu nimegundua wachangiaji wana mawazo tofauti sana. Wengine ni kejeli na wengine wanaona kama wana...
15 Reactions
73 Replies
22K Views
Back
Top Bottom