fab280391 Senior Member Jul 29, 2015 122 31 Oct 2, 2018 #1 Zile simu ni fake au orignal? Maana unakuta ni bei rahisi kidogo. kuna mdau aliyewahi nunua kwenye yale maduka athibitishe?
Zile simu ni fake au orignal? Maana unakuta ni bei rahisi kidogo. kuna mdau aliyewahi nunua kwenye yale maduka athibitishe?
Anti-Hacker JF-Expert Member Oct 1, 2018 804 1,231 Oct 2, 2018 #2 Nunua kwanza wewe... Huje utusibitishie
fab280391 Senior Member Jul 29, 2015 122 31 Oct 2, 2018 Thread starter #3 Anti-Hacker said: Nunua kwanza wewe... Huje utusibitishie Click to expand... sawa nitafanya hivo.
Cowman JF-Expert Member Feb 5, 2013 1,710 3,145 Oct 2, 2018 #4 Zinaweza kuwa OG mkuu sababu gharama za pale makumbusho kama kodi ya fremi ni ndogo kulinganisha na Kariakoo
Zinaweza kuwa OG mkuu sababu gharama za pale makumbusho kama kodi ya fremi ni ndogo kulinganisha na Kariakoo
reyzzap JF-Expert Member Oct 3, 2014 6,631 20,822 Oct 2, 2018 #5 kweli kbsaaaaa, wale jamaa cm zao bei n chee sana kulinganisha na sehem nying, nishawah nunua na ilikua OG, Sent from my Iphone X using jamiiforum App, nili inunua jana pale karume karb na duka la Mapajama.
kweli kbsaaaaa, wale jamaa cm zao bei n chee sana kulinganisha na sehem nying, nishawah nunua na ilikua OG, Sent from my Iphone X using jamiiforum App, nili inunua jana pale karume karb na duka la Mapajama.
fab280391 Senior Member Jul 29, 2015 122 31 Oct 2, 2018 Thread starter #6 reyzzap said: kweli kbsaaaaa, wale jamaa cm zao bei n chee sana kulinganisha na sehem nying, nishawah nunua na ilikua OG, Sent from my Iphone X using jamiiforum App, nili inunua jana pale karume karb na duka la Mapajama. Click to expand... Ulinunua simu gani mkuu?
reyzzap said: kweli kbsaaaaa, wale jamaa cm zao bei n chee sana kulinganisha na sehem nying, nishawah nunua na ilikua OG, Sent from my Iphone X using jamiiforum App, nili inunua jana pale karume karb na duka la Mapajama. Click to expand... Ulinunua simu gani mkuu?
reyzzap JF-Expert Member Oct 3, 2014 6,631 20,822 Oct 2, 2018 #7 fab280391 said: Ulinunua simu gani mkuu? Click to expand... samsung A7 2016 mzee