Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari za majukumu wadau.nilikua naomba kujua endapo nataka kua na kipindi binafsi nitakachotengeneza mie na kwenda kukirusha kwenye tv zetu hizi naahitaji jufanyaje? Upatikanaji wa wadhamini...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Nakumbuka forex, forever living na orifem zilivyowajaza watu ujinga wakipewa shuhuda feki wakaamini na kujitupia humo. Leo wanajutia tamaa zao hahahahaaa. Kijana Ontario aliwapiga pesa watu wazima...
11 Reactions
43 Replies
6K Views
Asaalam wanabodi, Nakuja kwenu tena nikiomba ushauri kwa yoyote anayejua/ mwenye uzoefu juu ya biashara ya Uuzaji wa mifuko ya Plastics inayotumika katika maeneo mengi ya biashara kama Mabucha...
0 Reactions
7 Replies
47K Views
Uzi wa kushare aina mbali mbali za biashara changamoto zake mtaji pamoja na faida zake, Bila kusahau wazo lolote unalofikiria kulifanya ili upate maoni kutoka kwa watafutaji wenzako,
1 Reactions
4 Replies
943 Views
Habari za mida wakuu Kama kichwa cha habari kinavyosema. Nimekua nikifatilia habari za watu wengi waliofanikia na wafanyabiashara wakubwa wa ndani na nje. Kutoka katika takwimu za forbes za...
9 Reactions
132 Replies
30K Views
Thamani ya shillingi ya Tanzania inazidi kushuka dhidi ya dollar ya Kimarekani kila kukicha. Serikali chukueni hatua za haraka. Athari hii ni mbaya kwa uchumi.
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Nilipokuwa na miezi sita kwenye ajira yangu ya kwanza tayari nilikuwa na utaratibu wa kusave bank kwa njia ya kukatwa juu kwa juu kiasi flani. Siku moja nikakutana na aliyekuwa mwalimu wangu...
26 Reactions
47 Replies
8K Views
Habari zenu wakuu. Nina habari njema ya kushare nanyi. Nayo ni stori ya jamaa yangu aliyefanya mapinduzi huku Kigamboni ambapo awali alikuwa akiacha hela ya matumizi kama elf ishirini kila...
7 Reactions
41 Replies
14K Views
Ndugu wana JF, suala la bidhaa feki na duni limekuwa ni changamoto kubwa. Nina mfano mzuri kupitia mavazi. Binafsi, nimekuwa nikiishi kwa kuvaa mitumba kwa muda mrefu kwakuwa nimekuwa na mtazamo...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari wakuu Tafdhali naomba kujuzwa juu ya utaratibu wa kisheria wa jinsi ya kufungua duka la Sonara. Hitaji kubwa sana liko kwenye utaratibu wa upande wa wizara ya Madini. ( Ni leseni hipi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari ya leo wakuu, naomba kufaham kwa kawaida hesabu ya siku ya kupeleka kwa mwenye gari ni sh nga kwa Uber? Asanteni sana.
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Post deleted by author
6 Reactions
46 Replies
5K Views
Maneno machache kwako wewe ambaye dunia bado inakuweka chini, Hawakujui, Watafanya kila liwezekanalo kukufanya ubaki ulipo, Watalipa polisi wakuweka ndani bila wewe kufanya kosa, Watakutishia...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Wakuu habari zenu. Naomba mwenye ABC za fursa za kibiashara hasa kwa mitaji midogo kati ya 100,000 -500,000 tsh. Kwa Mji wa Tunduma au Mwanza. Nimevutiwa kwenda kupambana maeneo hayo. Sina ujuzi...
0 Reactions
30 Replies
13K Views
The East African oil pipeline (or the Uganda-Tanzania pipeline is the talk of the town now. Not only in East Africa but all over the globe. The construction of this pipeline is officially on...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Wakuu, Kama thread inavyojieleza mataifa karibia 35 yameungana kwenye hii project, naomba mdau anayejua umuhimu wa hii project anielezee nipate kuelewa vizuri. Website ya hit project ni ITER - the...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habar wakuu wa JF.... 1) kwanza napenda kujua kwa wale wazoefu wa hii biashara ya kashata za karanga faida na hasira zake 2) pill naomba nipate darasa fupi La namna ya kuzitengeneza kwani...
1 Reactions
0 Replies
7K Views
Wapendwa wana jf, habari zenu! Naomba kufaham bei ya korosho zilizo banguliwa (nuts) kwa kilo moja ni shiling ngapi hapa dar...bei ya jumla na rejareja...
0 Reactions
199 Replies
50K Views
Ifuatayo ni orodha ya mikoa kumi ambayo wananchi wake wana ahueni ya kipato hivyo muwekezaji/mfanyabiashara makini lazima uzingatie. 1.Dar 2.Dodoma 3.Arusha 4.Mwanza 5.Tanga 6.Morogoro 7.Mbeya...
3 Reactions
63 Replies
11K Views
Nimekaa nawaza ujinga ujinga tu, Hivi ni kweli dr. Charlse kimei aliekua Mkurugenzi wa Crdb ameamua kupumzika nafasi hiyo kabla ya muda wake kuisha au ndio mpango wa kuelekea kule alikoambiwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom