JEFF BEZOS, founder of amazon.com world new billionaire ( $100 billion)

Cybergates

JF-Expert Member
Dec 2, 2016
672
1,390
Heshima kwenu wakuu, wakati tunaenda kumalizia malizia mwaka juzi J5 ilikuwa siku nzuri kwa jeff bezos ambapo report iliyotelewa na shirika la bloomberg ilionyesha yafuatayo:-
>Amazon ilipata faida ya +0.48% ambayo ilichangia faida ya $34.2bl ambapo mpinzani wake microsoft ilipata +0.29%
>Amazon stock has rung up a 60% gan since jan 1, 17
Pia leo list ya billionaires 500 ilitoka ambao wa na jumla ya $5.3 trillion
Baadhi ya mabillionaire kwenye hii list mpya ambayo inaongozwa na jeff ni:-
1. Jeff bezos $100B
2. Bill gates $91B
3. Warren buffett $85.5B
4. Amancio ortega $75.5B
5. Mark zuekerberg $73.2B
16. Jack Ma $45.5B
116. Aliko dangote $12.2B
155. Cyrus poonawalla $9.24B
REF:
Wamabasi ya njano piteni hapa
=>World's Wealthiest Became $1 Trillion Richer in 2017
=>http://fortuneA.com/2017/12/27/world-richest-trillion-dollars-2017/
=>Bloomberg Billionaires Index
MY TAKE
Hiyo ndo listi mpya ya mabilionaire duniani mm pamoja na ww tunatamani siku moja tuwe kwenye hiyo list kwa maoni yangu yatupasa kufanya mambomakuu matatu
1. KUWA NA MALENGO ukiwa mtu ambaye huna malengo ni sawasawa na kuku aliye katwa kichwa hajui wapi pa kuelekea
2. FANYA KAZI KWA BIDII usitafute sababu za kujiona huna hatia mara hoo nilishidwa kuanzisha hichi kwa sababu nilikosa kile
3. USISAHAU KUMTANGULIZA MUNGU MBELE KWA KILA JAMBO mungu ndo muweza wa kila kitu muweke mbele kwenye kila hali au jambo lako hakika atakusaidia
====CYBERGATES====
 
Akili tuu brother, halafu hoa ni wayaudi huwezi kubishana nao
Yaani magari ya kuwahisha mizigo imekuwa noma mpaka van binafsi zinafanya delivery usiku na mchana.
Kwanza hii Christmas na mwaka mpya usiseme mpaka drones zinatumika
Hawa jamaa siri yao naijua ni mikakati mikubwa na plan za maisha tu
 
Yaani magari ya kuwahisha mizigo imekuwa noma mpaka van binafsi zinafanya delivery usiku na mchana.
Kwanza hii Christmas na mwaka mpya usiseme mpaka drones zinatumika
Hawa jamaa siri yao naijua ni mikakati mikubwa na plan za maisha tu
kama. drone zipo mzigoni hela ya kufa mtu hapo
 
Duu naona Trump wivu umemuingia au biashara za washikaji zimedorora
8615d2ce5cd7a1254aa9a5f54b12a6ad.jpg
 
3. USISAHAU KUMTANGULIZA MUNGU MBELE KWA KILA JAMBO mungu ndo muweza wa kila kitu muweke mbele kwenye kila hali au jambo lako hakika atakusaidia
====CYBERGATES====
Unaweza ukakuta hao wote hawaamini uwepo wa Mungu.
 
Unaweza ukakuta hao wote hawaamini uwepo wa Mungu.
Sitashangaa. Tunaoamini Mungu sana huku Afrika ndio kuna maskini wa kutupwa na mifujo isiyoisha. Tuko bize kwenye mambo ya kipuuzi
 
Furaha yang ipo pale ALIPO SEMA "just give me ideas " Jeff Benzos alipo tweet mtandaon(tweeter). Watu wakamshaur GIVES TO CHARITY,so zaid ya trillions of money will go to save the world(CHARITY) to those with hunger,poverty,diseases,cancer research,etc.....here is differences btn BEING RICH and BORN RICH.

May Almighty bless them to blows 999yrs of success n kingship in billionaires.

Cc JBenzos,Billgate,Warren Buffet,Etc
 
Back
Top Bottom