Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

*Hii taarifa imeanzia ivory coast* Cashew nut farmers and exporters in Ivory Coast are seeing a slump in sales as Vietnamese exporters try to get out of contracts following a drop in world...
1 Reactions
89 Replies
15K Views
NAIROBI (Reuters) - Tanzania's plan to buy the country's entire 2018 cashew nut crop could lead to a global shortage, with processors in Vietnam and India likely to be hit first, traders said...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Habarini wana jukwaa, napenda kupata muongozo kuhusu hii biashara ya vyuma chakavu je inaitaji mtaji kiasi gani kuifanya, hapa nina maana ya kwamba mimi niko mkoani, nifungue ofisi ya kununua...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
26% amewazuia Vodacom south Afrika,why now?
0 Reactions
58 Replies
11K Views
Wakuu nipo katika mchakato wa ujenzi wa Nyumba yangu maeneo ya mile moja kibaha lakini Nina shauku ya kujua Sana njia ipi nzuri ya kupunguza gharama ya ufundi Kati ya kumtafuta fundi na kumkabidhi...
0 Reactions
18 Replies
7K Views
Wana Jf, kama kinavyosimeka kichwa cha habari hapo juu"UFADHILI". Ninatafuta & kuitaji mfadhili wa kuninunulia PIKIPIKI ya Mkataba, maalum kwa kufanyia BODABODA. Ufadhili usio & mashart magumu &...
0 Reactions
0 Replies
693 Views
nasikia kuwa nchi ya Zimbabwe kwa sasa inatumia dollar ya Marekani kama fedha yao. je hili linawezekana vipi kwa maana nchi inapata wapi supply ya dollar nyingi kiasi cha kuwezesha kila raia kuwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wadau; Biashara inauzwa 51% Atakayenunua atakuwa mmiliki kwa asilimai 51% Kwanza hii sio biashara kubwa in terms of assets and cashflow kwa sababu ya namna ya uendeshaji wake ila kwa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
nataka kujua that
0 Reactions
18 Replies
14K Views
Wakuu natumaini ni wazima wa afya mimi kuna sehemu niliazisha biashara yangu muda kidogo niseme kama lile eneo limevamiwa baada ya mimi kuja pale wamekuja watu kama kumi wote wanabiashara kama...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Mkurugenzi wa Mauzo na Masoko wa Air Tanzania ndugu Nkwabi ameelezea kwamba ATCL itaanza safari za kwenda Guangzhou kupitia Bankok mwezi Februari 2019. Ndege itakuwa ni Boeing 787-Dreamliner...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu hembi nipeni ushauri juu ya hili. Kuna sheem nimenunua ila ipo nje ya mji na umeme hakuna. Nilikuwa nataka kuanzisha kiwanda cha kufyatulia tofali wakati huu mji haujaanza ili ukichanganya...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Habari zenu wakuu, mimi ni kijana mjasiriamali ninafanya kazi katika ofisi yangu ambayo nimeianzisha mwenyewe maeneo ya chanika Dar es salaam. Lengo haswa la kuja mbele yenu ninahitaji mtu abaye...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wadau wa Jamiiforums Naomba mnisaidie wazo la kibiashara niko Arusha Mjini, kaka yangu amenipa vifuatavyo ameniambia nitafuate wazo la biashara na nianzishe biashara yangu. Amenipa ofisi...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Naomba kujua umuhimu au faida za kununua hisa na unapate faida..mweny ufahamu wa juu juu ya hili tafdhali msaada
1 Reactions
1 Replies
976 Views
Forbes Wametoa Listi ya watu 50 matajiri zaid afrika huku Listi ikiongozwa na Mnigeria Aliko Dangote(pichani ) Na kwa upande wa Nyumbani, Mtanzania(mwanasiasa) Wa kwanza ameonekana akiwa katika...
0 Reactions
139 Replies
65K Views
Kilo ya korosho pale airport departure lounge inauzwa karibu Tshs.20000. Kampuni ya Ali Baba ya China inatangaza bei ni dola 10 kwa kilo. Hii ni baada ya kuongeza flavors. 3000 bado...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Jamani naulizia ushuru wa TRA kwa pikipiki inayoagizwa kutoka nje ukoje na pia kwa hapa bongo ni wapi wanakouza pikipiki used zilizo katika hali nzuri kutoka Japan?
0 Reactions
1 Replies
959 Views
Wakuu niko katika mchakato wa biashara ya matofali ila ningependa kujua usahihi wa vipimo vinavyotakiwa katika matofali yasiyo kuwa na matundu (solid blocks) na kwa yale yenye matundu (hollow...
1 Reactions
4 Replies
23K Views
Kwa asilimia kubwa watu wengi wanaoanzisha biashara mara nyinyi huwa tayari wameshafanya utafiti kuhusu soko la biashara,eneo la kufanyia biashara na hata kujua mahitaji ya wateja Pamoja na...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom