Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana, Ms. Mary Tesha ambaye alimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Mwanza akizungumza na waandishi wa habari katika hafla ya uzinduzi wa huduma ya Taxify iliyozinduliwa hivi karibuni...
Nimefanya booking jana online, nimeamka alfajiri hii nataka nilipie ile reservation, the only reference ya booking niliyoona ni hiyo reservation number, najaribu kuingiza mpesa inakataa, naingia...
Africa 118 - Infomoby which provides a digital marketing platform for small and medium-sized enterprises (SME’s) in Africa, and NORAD (Norwegian Agency for Development) partnered to make it easier...
Habari wadau! Kama kichwa cha Habari kinavyosomeka, naomba kupata maelezo juu ya masharti, hatua , mahitaji ili kufungua micro finance hapa Nchini. Pia sheria na miongozo inayotumika ktk kufungua...
What is Islamic Banking? It is complying with the Shariah laws of no Interest banking. Amana is the first Muslim bank in Tanzania entirely Shariah compliant.
Amana Bank Ltd. | Tanzania's First...
Nauliza Ndugu kwa YEYOTE anaejua NAMNA ya KUPATA vibali vya kufungua training centre itaoayokuwa inafundisha computer application na masomo labda
Aweze kunisaidia
ASANTENI
Karibuni!!!!
Ukiangalia perfomance ya hisa za vodacom soko la hisa Tanzania inaonyesha wazi kuwa kwa muda mrefu haifanyi vizuri.Naiomba serikali ishawishi wawekezaji wa china wainunue.Kupata kibali cha...
Habari wakuu naimani mko salama
Niende kwenye lengo la uzi,kifupi nimetumiwa fedha kupitia GOOGLE ADSENSE na niliweka njia ya malipo iwe WESTERN UNION na swala linapokuja kunitatiza ni kwamba...
Habari wakuu,
Kuna uvumbuzi mmoja wa bag la wanafunzi shuleni, bag hilo lina features tofauti kabisa na mabag yaliyopo. Bag hizo zinauzwa Marekani, nimejaribu kugoogle hiyo kampuni nimeona kwenye...
STARTIMES YAOMBA RADHI WATEJA WAKE.
Kampuni ya StarTimes Media (T) Ltd, imewaomba radhi wateja wake pendwa na umma kwa ujumla kwa kutopata chaneli za bure kwa muda sasa.
Taarifa iliyotolewa na...
.
"Huwezi kujiamulia maisha yako ya baadae,
Bali una uwezo mkubwa wa kuamua kubadili tabia zako za sasa, kisha tabia zako ndizo zitakazokuamulia maisha ya ubadae wako".
KIVIPI?
Je, tabia zako...
Naombeni ushauri nima studio ya kupiga picha tayari ila natumia TIN number ya jina langu na ninalipa kodi TRA kupitia tin namba hiyo lkn sasa nataka nikachukue leseni ya biashara sasa ktk fomu ya...
Mimi ni mdau wa benki husika ambaye nimeanza kufuatilia mkopo wa biashara kulingana na matangazo yao kuwa wameboresha huduma zao pia muda wa kuomba mkopo umepungua hadi wiki 2 iwapo utakidhi...
Katika Watanzania 500 badi 457 wanalia hali mbaya ya Uchumi a.k.a Vyuma Vimekaza halafu hapo hapo tena kuwa Watu wanathubutu kabisa Kujenga Maghorofa makubwa makubwa ya Kupangisha ( Apartments)...
Napenda kujua Serikali inatumia kanuni gani kukadiria Kodi ya Madini mbalimbali ambayo Mteja katoka nje kaja kununua ndani ya nchi, sasa anataka kulipia Kodi ili aondoke na Madini yakiwa na...
Mwanahistoria na Mdau wa Maendeleo, Francis Daudi amefanya Tafiti kuhusu Mahusiano ya Kiuchumi kati ya Tanzania na India toka Mwaka 1960. Kufahamu mahusiano hayo, fursa za kiuchumi zilizopo kwa...
Habar ya jion wakuu??
Baada ya kupigapigana na kufilisika huko niliko kuwa kwenye biashara zangu za mbao niliamua kurudi home na kwa maana kwa muda sana nilikuwa nashamba nilinunua kipindi nipo...
Msomi wa Shahada ya Uzamili ya Uhasibu na Fedha katika Mafuta na Gesi Asilia, Leonard Constantine Amefanya ‘Risachi’ kuhusu Ushiriki wa Wafanyabiashara Wadogo na wa Kati (Micro, Small, and Medium...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.