Habari!!!?
Wakuu naomba uzoefu wenu, Mimi niko kanda ya ziwa nataka kuanzisha biashara ya vifaa vya umeme na electronics japo maono yangu baadae mtaji ukiwa mkubwa niongeze na kuwa na duka LA...
Msaada kwa wenye uzoefu shilingi ngapi naweza kufungua grocery!? Friji na glass nitachukua ndani kwangu nshachoka kusubiria mshahara zaidi ya ninavyosubiria ujio wa bwana yesu.
Sent using Jamii...
Habari za jioni wadau. Juzi tarehe 17 mwezi huu wa name nilifanya muamala kupitia huduma ya vodacom Mpesa , sasa tangu iyo majuzi hela haikwenda nilikokusudia na kila nikiwapigia huduma kwa...
Nimekuwa mdau Wa mabasi ya mwendo kasi. Lakini kuna kero ninazoziona
1. Routes. Mabasi ya mwendo kasi yanaanzia Mbezi Luis had I kimara abiria wanashuka wanaanza upya kwenda mjini. In kwa mini...
Habarin za wikendi wanajamvi, mi sio mtu wa kuposti sana thread ila leo nimeona niombe ushauri au wazo kutoka kwenu wadau. I mean nimesajili company na taratibu zote za kuisajili zimeshamalizika...
Please,
Ninayo biashara ambayo watu wanaweza kuinunua online, ninahitaji kutengeneza app nzuri, ninawezeje kuuza vitu vyangu kwa kutumia simu yangu tu? Wenye uelewa, nipeni procedure na namna ya...
Serikali imechukua hatua kufufua shirika mama TTCL ; Kushindana na Makapuni mengine ya simu
Chakushangaza katika market strategy ; uwa mtu anaingia sokoni kwa njia mbili
1. Cost
2. Unique of the...
Habari ya wakati na muda kama huu ndugu zangu watanzania na East Afrika kwa ujumla. Nianze kwa kutoa pole kwa ndugu jamaa na rafiki wote walioko kwenye mfungo. Mwenyezi awajalie wepesi...
Habari zenu,
Mimi ni kijana ambaye nimemaliza kidato cha nne mwaka 2007. Nilibahatika kupata div 4 ya point 26 nilipata C tatu.
Sikubahatika kuendelea advance nikaamua kujishughulisha na...
Habari zenu wakuu? Kama kichwa knavyosema hapo juu, naitaji kujua/kufafanuliwa jinsi ya kufungua fixed account katka benk ya CRDB. Na je rate ya faida inakuaje na ni kiasi gani unatakiwa uweke au...
nimekuwa mhanga sana katika suala la upangaji wa mishahara na madaraja yake, mfano TGOS,TGS, PSOS n.k watu tunaomba kazi serikalini kwa kuangalia madaraja yale lakini wengi hatuelewi ni kiasi gani...
TUMEZOEA kuona wateja wakidaiwa na mara nyingi kuamini kwamba, kwa sababu mwenye duka ndiye anayemiliki bidhaa ziuzwazo, uwezekano wa kudaiwa na mteja haupo au ni kwa asilimia ndogo sana.
Mtandao...
Wanajukwaa kheri?
Naomba nianze moja kwa moja kwa kujikita katika suala hili la uandaaji mikataba baina ya serikali na mwekezaji. Hii inatokana na haya yanayo jili kila uchao na uchwao inapokuja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.